Mume wa Wolper

Huyo mwanaume wa wolper anaitwa Sadick, na sidhan Kama wolper anamjua vzr, ni mtu mtu anapenda sifa na kujifanya ana hela mtu muongo muongo. nimesoma naye shule ya msingi chazungwa na sekondari mpwapwa. Wala hatokei Denmark Kama anavyosema. Kwao ni mpwapwa mwanakianga. Kesho nikiamka salama ntakuja kumwelezea vizuri huyu jamaa. Sijui kwanini watu wanaopenda sifa na waongo waongo na matapeli wengi wao hufanikiwa kwa njia hizo hizo
Unamjua Mdudu Kaa?
 
Dah hivi wolper ndio alikua akimchamba marehemu Ndikumana ana sura mbaya.....
Hii sura ya mchumba wake siiongelei namuachia Mungu.
Lkn shosti mbona hata harmonize sura ilikuwa ile ile?

Nisame tu huyu Dada hanaga baharini ya mabwana. Tens Bora alivyo kuwa maswali kijitonyama Lutheran, labda iyo gundu ingemtoka. Lkn kwasasa kaamua kuwa mpagan ndio kabisaaa
 
Aliwahi kumsema Ndikumana ana sura mbaya...hii ya huyu bolo yang ni kama anaugulia maumivu
Ameshangilia mahari hajuagi huwaga wanakata kona hao!
Tatizo kila kitu anadolishia kama mshamba fulani.
Huyu binti hajui maisha hata kidogo. Halafu ni mtu asokuwa na bahat si ya pesa, bwana, wala heshima.

Sijawah kuona mahali amepewa heshima ama hata yy amejipa heshima. Akiopoa bwana hawaelewekagi mara kitoto, mara sura ngumu, mara mishen town, mara pusha yaan ni huruma kwakwel.
.muda mwingine unasema labda kwasabb siku hizi ameacha kwenda kanisan. Sasa tusemeje?
 
Lkn shosti mbona hata harmonize sura ilikuwa ile ile?

Nisame tu huyu Dada hanaga baharini ya mabwana. Tens Bora alivyo kuwa maswali kijitonyama Lutheran, labda iyo gundu ingemtoka. Lkn kwasasa kaamua kuwa mpagan ndio kabisaaa
kwakweli hana bahati....
Ndo nlimshangaa alivomsema marehemu wakati harmo sura yake teh, tena bora harmo huyu mpya dah sijui ni ba mutu ba wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom