wapi naweza kupata hivi vidude kwa ajili ya wanangu

wapi naweza kupata hivi vidude kwa ajili ya wanangu

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
13,563
Reaction score
21,374
Wapi kwa dar -es-salaam naweza kupata vifaa hivi kwa ajili ya kuwaburudisha wanangu.Hizi zinaitwa Virtual reality 3D glasses ambazo unaweza ukazitumia na smart phone
vr2.jpg


vrnew.jpg
 
Kwa hapo bongo bado havijazagaa sana ila kama unandugu au rafiki yuko marekani (ulaya) muagize mimi naviona mlimani city tu wanatumia kucheza game wala sijaona wanauzwa hapa bongo
 
Back
Top Bottom