Recent content by Joseph Benson Nyalusi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kusahau kitu chako cha thamani kwenye usafiri wa umma, yaani Daladala, halafu ukakipata tena?

    YAMEWAHI NIKUTA⛔️⛔️⛔️⛔️ Nilipokuwa ninaingia kidato cha sita nilipewa hela ya kununulia mahitaji pamoja na ada, nikanunua mahitaji yote ya msingi nikapanda daladala vile nashuka nikasahu dakika chache zilipita baada ya abiria kushuka narudi najaribu kumuuliza kondakta ananambia hawajaviona...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Kwanini Mchungaji akitaka gari anachangiwa na muumini akitaka gari anaombewa
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

    Nimejifunza zamani watu walikua wanaombana moto ila siku hizi wanapelekeana
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu Telegram bots

    Nimetafuta Royal Tour movie nimeikosa
  5. J

    JamiiForums Tanzania Project Management and Evaluation

    MPM, hii inpatikana ukishakua na experience ya project management au Bachelor degree in project management na experience ya miaka miwili. PRINCE2 siyo lazima uwe na experience ya mda wote huo miaka miwili lakini uwe na Foundation ya PRINCE2 methodology. NB; Hizi ni methodologies tu japo moja...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuwafuma watu wakifanya mapenzi?

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ukala nyeto kujipongeza na shule hukwenda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  7. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    3:29
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada, matibabu ya Anal fissure

    Hii ni kawaida kwa sasa kutokana na ulaji unaweza tumia matunda daily na ukapata sababu unkua umesahau kupunguza vyakula kama chapati na maandazi. Bila kutumia maji baada ya kula vyakula hvyo. Kama ndio tatizo limeanza daktari wangu alinishauri na nilipona within two weeks na halijajirudia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

    Mungu yupo na tuendelee kupitia huu Uzi imani na matamanio au hali kufanya mambo makubwa inaamka. Ahsante kwa ujumbe huu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kama wanaweza kutengeneza Bombadia wanaweza pia kutengeneza chanjo ya Covid-19

    Upo sahihi lazima tukae chini tujiulize hii dunia inaendeshwaje na kuna siri zipi ambazo znafanya haya majanga yatokee na kwa mda flani
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kipanya anamaanisha nini hapa

    Mbona kama ni kweli vileee
Back
Top Bottom