Msaada, matibabu ya Anal fissure

Msaada, matibabu ya Anal fissure

tatito mimi kuna kama uvimbe namikwaruzo,ninapoenda haja kubwa ni maumivu makali sana,hata nikikaa tu bi maumivu mkuu,hosp vipi,hawatibu?
Tatizo lako tofauti na la kwangu.
Source ni nyingi la hemorrhoids nadhani.
Lipo la kukaa Sana,kunyanyua vitu vizito,
Ama kujikaza Sana chooni.
Mambo mengine ni Koo kurithiana.
Mengine ni masuala ya kienyeji zaidi.ulaji wa vyakula fulanifulani unaleta shida iyo.
Hapa sayansi haipo Tena ni uzoefu wa mababu zetu walivyoishi kabla ya kuja kwa mkoloni.na ingawa mwafrika aliyepata elimu ya mkoloni anapinga.

Wapo wanaotibiwa kienyeji wanapona.
 
hospital hakuna msaada?
Upo nakumbuka kuna siku zilinisumbua mpaka nikamweleza mpangaji mwenzangu ambaye alikuwa binti mmoja mzuri akanicheka lakini akanitafutia nurse ambaye alikuwa tayari kuniunganisha na daktari lakini kabla hajafanya hivyo ndo akanipa maelekezo hapo juu na siku niliyomfuata ili nimuone daktari akanishauri kama naweza kuvumilia

nisifanye kwakuwa wakati mwingine daktari akikosea inaweza kuwa na madhara lakini haina maana baada ya oparation ndo haviwezi kurudi tena vinaweza kurudi nami nikajiongeza kuwauliza wadau wenye tatizo mmoja akanieleza baba yake alifanyiwa lakini vikarudi tena.

kubali ishi navyo kama kawaida nishapiga nusu papai kubwa na hapa nina maji lita moja maisha yanaenda! usifikirie sana kuna vitu vingi vya kufanya muda hautoshi.
 
Upo nakumbuka kuna siku zilinisumbua mpaka nikamweleza mpangaji mwenzangu ambaye alikuwa binti mmoja mzuri akanicheka lakini akanitafutia nurse ambaye alikuwa tayari kuniunganisha na daktari lakini kabla hajafanya hivyo ...
jana nilizingatia ushauri wako,mchana nilikula ugali laini na mchuzi,jioni nikala ubwabwa kidogo sana na mchuzi mwingi,na papai zima,asubuhi nilipata choo laini sana,ila damu bado zinatoka na maumivu juu.
 
jana nilizingatia ushauri wako,mchana nilikula ugali laini na mchuzi,jioni nikala ubwabwa kidogo sana na mchuzi mwingi,na papai zima,asubuhi nilipata choo laini sana,ila damu bado zinatoka na maumivu juu...
ikiwa ipo serious unaweza kumwona daktari.

acha ugali na wali kwa muda kula ndizi (kutoka kwa damu wakati mwingine huwa ni kupasuka kwa hiyo mishipa) sisi wengine hatuogopi tena huwa tunajitafutia appricox (neno linaweza kuwa sio sahihi lakini na hii nilijifunza kwa mzoefu.

Mwingine yeye zikivimba anaweza hizo ili zipasuke apate nafuu japo ukibadilisha mlo mambo yatakwenda vizuri pia hepuka pilipili na akiwezekana punguza pombe au acha kwa muda pia kahawa na chakula chochote unachohisi kinaweza kupunguza athari za choo kigumu.
 
nikienda haja kubwa napata maumivu makali sana,na damu zinadondoka matone mfululizo,kuna uvimbe sehemu ya haja kubwa,naomba ushauri nitumie dawa gani,ni wiki moja tangu tatizo lianze...msaada tafadhali
Hii ni kawaida kwa sasa kutokana na ulaji unaweza tumia matunda daily na ukapata sababu unkua umesahau kupunguza vyakula kama chapati na maandazi. Bila kutumia maji baada ya kula vyakula hvyo.

Kama ndio tatizo limeanza daktari wangu alinishauri na nilipona within two weeks na halijajirudia tena.

Procedure
1.1. Chukua maji ya uvuguvugu kwenye dishi
1.2 Ukae kwenye hayo maji kama dk 15 hvi mpka yapoe.
NB; (a)Hii inasaidia kulainisha ile pile then inarudi yenyewe ndani au kama ya ndani pia utapona.
(b) Hii tumia ndani ya siku saba itkusaidia kabisa.

2.1 Tumia papai na matunda yoyote isipokuwa mapera Yale yanakazi yake nyingine

NB; Hakuna dawa hospital ya hilo tatizo zaid ya kukata ambapo kukata sio kupona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom