Mambo ya kushangaza kuhusu Telegram bots

Mambo ya kushangaza kuhusu Telegram bots

Screenshot_2022-08-08-12-46-46.png
 
Telegram imerahisha sana swala la movies, it,

By the way naikubal sana
 
Kwenye books naona imekubali fasta tu, bt kwenye movies au series naona nikisachi inaweka tiki tu bt haileti, je nakosea?
Copyights zinazingua sana nowdays telegram, make ilkua kama torrents tu so wamiliki wa music, movies n.k waliona contents zao zinapatikana free na unlimited telegram bila wao kufaidika so sheria za copyrights zinawalinda kwa sasa kwa maana ya baadhi ya contents huzipati kirahisi kwa baadhi ya bots au huenda bot huyo amekua blocked na firewalls zao ku access contents zao kutoka third-party servers..
 
Nimetafuta Royal Tour movie nimeikosa
Hahahaa! Za kibongo kuzipata huko kidogo ni kipengele si unajua watu hawashare sana movies zetu kiasi cha kua hosted kwenye many online cloud storages kiasi ingekua rahisi kuzipata hata kwenye torrents!
 
Back
Top Bottom