EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #61
SijakuelewaKatumikeni
Wakati huo hawana miguu
SijakuelewaKatumikeni
Wakati huo hawana miguu
[emoji848][emoji848][emoji1019][emoji1019]Already in casket
Kama mwamba[emoji1019][emoji1019][emoji848][emoji848][emoji848]Hyo ni Empty shell mkuu aliyekuwemo ndani tayari amevuka nga'ambo let us prepare ourself very well psychologically
Mbona kama ni kweli vileeeNtajaribu kuwafumbua macho ila sio lazima mniamini!
Hii saga ya hali ya mh Rais wengi mnaitazama kwa namna walioitengeneza wanataka muitazame!
Iko hiv. Rais yuko sawa na anaendelea na shughuli zake kama kawaida!
Kinachoendela ni mpango wa ile topic ya "kuwa rais wa milele"
Strategy ni kufanya ya fuatayo
[emoji117]Kutengeneza mazingira aonekane yeye ni muhimu na bila yeye tanzania haitaweza kuendelea, hii ni kwa watanzania na nchi za nje
[emoji117]Lazima awe maarufu na kutokana na anayo ya fanya basi maadui dhidi yake nataifa kwa ujumla niwengi
[emoji117]lazima kuzima taarifa zinazo chafua uongozi wake kama saga la mahindi lililokuwa hapo nyuma
[emoji117]Lazima aonekane ni strong na akili nyingi na hakuna kitu kina mshinda
Sasa nini kinachoendelea!
[emoji117]Dhibiti vyombo vya habari, watoe taarifa positive tu kuhusu wewe na serikali yako na viongozi wako kusifia jina lako tu
[emoji117]Tengenza makundi mawili yakumfanya awe maarufu, kundi la kusifu na lile la kupondea,
[emoji117]Potea machoni kwa watu, na kupitia yale makundi uliotengeza penyeza taarifa kuhusu kupotea kwako yaanzishe mjadala kuhus wewe, ikiwezekna isemekane umekufa, then jitokeze waumbue uonekane ni strong na umaarufu wako utazidi kuwa mkubwa ndani na nje ya nchi!
[emoji117]Ikifika miaka minne ya utawala wa awamu yako ya pili , bunge litumie makundi ulotengeneza kama rejea ya kuhalalisha kuongezewa miaka mingine, watanzania watakuwa wanakuimba jina lako, hakutakuwa na kikwazo unakuwa rais wa milele!!
Anataka mambo yaenda haraka haraka wakati huo hao anaowahimiza hawana miguu wala kichwa mbele wala nyumaSijakuelewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu mdudu hapendagi kero
Halafu yupo juu ya barafuHata miguu hana ujue
Wako kazini hii ni mipango tu nahisiMkuu umewaza.mbaali sana unataka kusema anataka kujifanya immortal???[emoji848][emoji848]
Unashangaa nini mtu ameshindwa hata kuandika neno 'aning'amulie'unajiita Einstein unashindwa kuelewa fumbo dogo kama hilo?
[emoji848][emoji848]Mbona kama ni kweli vileee
Sawa na kuvaa barakoa sio?Kobe akiingiza kichwa ndan ina maanisha ajilinda
[emoji848]Anataka mambo yaenda haraka haraka wakati huo hao anaowahimiza hawana miguu wala kichwa mbele wala nyuma
Barafu??🦥🦥[emoji2371][emoji2371]Halafu yupo juu ya barafu
Ukiona gamba la kobe hivyo kuna mengi utajiuliza..
Yumo? Mzima?
Inaweza kuwa kweli aisee[emoji23][emoji23]Wako kazini hii ni mipango tu nahisi
Mi naona nyotanyota....ngoja nikalale....Ntajaribu kuwafumbua macho ila sio lazima mniamini!
Hii saga ya hali ya mh Rais wengi mnaitazama kwa namna walioitengeneza wanataka muitazame!
Iko hiv. Rais yuko sawa na anaendelea na shughuli zake kama kawaida!
Kinachoendela ni mpango wa ile topic ya "kuwa rais wa milele"
Strategy ni kufanya ya fuatayo
[emoji117]Kutengeneza mazingira aonekane yeye ni muhimu na bila yeye tanzania haitaweza kuendelea, hii ni kwa watanzania na nchi za nje
[emoji117]Lazima awe maarufu na kutokana na anayo ya fanya basi maadui dhidi yake nataifa kwa ujumla niwengi
[emoji117]lazima kuzima taarifa zinazo chafua uongozi wake kama saga la mahindi lililokuwa hapo nyuma
[emoji117]Lazima aonekane ni strong na akili nyingi na hakuna kitu kina mshinda
Sasa nini kinachoendelea!
[emoji117]Dhibiti vyombo vya habari, watoe taarifa positive tu kuhusu wewe na serikali yako na viongozi wako kusifia jina lako tu
[emoji117]Tengenza makundi mawili yakumfanya awe maarufu, kundi la kusifu na lile la kupondea,
[emoji117]Potea machoni kwa watu, na kupitia yale makundi uliotengeza penyeza taarifa kuhusu kupotea kwako yaanzishe mjadala kuhus wewe, ikiwezekna isemekane umekufa, then jitokeze waumbue uonekane ni strong na umaarufu wako utazidi kuwa mkubwa ndani na nje ya nchi!
[emoji117]Ikifika miaka minne ya utawala wa awamu yako ya pili , bunge litumie makundi ulotengeneza kama rejea ya kuhalalisha kuongezewa miaka mingine, watanzania watakuwa wanakuimba jina lako, hakutakuwa na kikwazo unakuwa rais wa milele!!
[emoji143][emoji16]Mi naona nyotanyota....ngoja nikalale....