Recent content by joseeY

  1. joseeY

    Natafuta fundi wa laptop na computer Arusha

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi wa laptop aliyeko Arusha. Laptop yangu inaunguruma sana ninapoiwasha pia baadhi ya button hazifanyi kazi. Kwa yeyote mwenye utaalamu naomba anipm Sent using Jamii Forums mobile app
  2. joseeY

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Hiyo ni programme ya Highway engineering
  3. joseeY

    Sony Home theatre 300 watts for sale

    Unapatikana wapi mkuu
  4. joseeY

    Hongera Patrick Ole Sosopi Makamu Mwenyekiti BAVICHA, Karibu Nyumbani Isimani

    ok kila la kheri ole.......................
  5. joseeY

    Soma kitabu cha Robert Kiyosaki "Guide to investment"

    Na mini pia nitumie soft copy ya guige to invest kwa joseesnr@gmail.com
  6. joseeY

    Nafuta marafiki wafanya biashara

    QUOTE=Mparee2;6993081]Mimi naishi Arusha na nina hobby ya kufanya biashara ila muda mwingi Na Kuwa Kwenye kazi nyingine. napenda kuwasiliana na marafiki wa jinsi a yeyote wafanya bibiashara Napenda rafiki awe na zaidi ya miaka 30 na aliyeserious asanteni Tuwasiliane mkuu, mm pia...
  7. joseeY

    Nanunua motherbord za computer zilizo kufa.

    kuna toshiba mbili zimekufa display, pm if interested
  8. joseeY

    Laptops and Mobile phones for sale

    Ni pm bei mkuu
  9. joseeY

    BMU's

    NAMASABO ni beach iliyopo kisiwani Ukerewe
  10. joseeY

    Natafuta dalali wa nyumba ya kupanga Arusha

    Yeyote anayefaham dalali wa nyumba ya kupanga/vyumba Arusha anipm plz
  11. joseeY

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Arusha

    kuna jamaa yangu mmoja anatafuta chumba kikubwa na kizuri cha kupanga maeneo ya Sanawari, Mianzini, Sakina na maeneo ambayo yapo karibu ya Arusha Technical college. Chumba hicho kiwe self contained. Kwa yeyote mwenye ufahamu mahali ambapo kuna chumba chenye sifa kama hizi tafadhali asisite...
  12. joseeY

    List ya recruitment agencies Tanzania

    Bila shaka sijachelewa sana, mimi pia naomba unitumie spreadsheet yenye kila kitu kuhusu recruitment agencies Tanzania. Email yangu ni: joseesnr@gmail.com Tanks in advance
  13. joseeY

    Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

    Hongera sana Jerry Muro
  14. joseeY

    EU, Marekani wajitosa mgogoro wa Katiba

    Hekima na uvumilivu vinahitajika mno sasa kuliko wakati wowote ule kwani vikikosekana nchi hii inaweza kutumbukia katika mgogoro na machafuko ambayo si CCM na serikali wala wananchi watakaofaidika. Ni wajibu wa CCM (hasa hasa Spika wa Bunge na Rais) kukubali kuwa walipitiwa kwa kudhani kuwa...
  15. joseeY

    Natafuta Laptop screen

    Natafuta Laptop screen 17" diagonal widescreen Trubrite LCD 1440 X 900 resolution (WXGA) New or used, yeyote mwenye information ani PM please
Back
Top Bottom