Laptops and Mobile phones for sale

Laptops and Mobile phones for sale

tumieni ebay kununua bidhaa. Ni biashara ya online. Ni very cheap and simple.

je namna ya kusafirisha(yaani kama kampuni ya kusafirishia), gharama za usafirishaji, VAT, nk. Ukitumia ebay unazijua gharama zake?
 
nipe ufafanuzi kuhusu ebay. ni kweli bidhaa inakufikia tanzania?
na vip kuhusu malipo unalipiaje?
na wakutumia mzigo kwa njia gani?
 
macBook Pro, core i7,speedy 2.6ghz , hdd 750gb,ram 8gb,intel HD graphics 4gb,web, mpyaaaaa bei 2.5mil,
macBookPro,core i5,spedy 2.5ghz, grafix 4gb, web, hdd 500gb,ram 4gb, mpyaaa bei 1.9mil
 
Haya mambo ya kuficha bei ndo dalili ya biashara za ujanjaujanja!!
 
dell latitude e6420 core 15 ina 4gb ram keybord inawaka taa,inauzwa,ni mpyaaaa
bei ni laki 7 na 80
piga 0719373606
 
tunafundisha animation graphics design in 3d software ni Maya auto desk
pia tunatengeneza mabango yote ya biashara
pia tunafundisha adobe package yote.
kujisajili piga 0716191800
 
Back
Top Bottom