Natafuta dalali wa nyumba ya kupanga Arusha

joseeY

Senior Member
Nov 4, 2010
108
17
Yeyote anayefaham dalali wa nyumba ya kupanga/vyumba Arusha anipm plz
 
Kamatulivyo ongea jana kwenye simu kwamba kuna vitu mimi nauza, nataka kama unaweza kutafuta wateja, kwasababu mnauzoefu kwakazi hiyo.

I. Mimi nauza kamtambo kakuwoshea MADINI YA VITO, kamtambo haka kanavutw na Gari, lakini kwasasa nimetoa mataili nimaweka dani kuofia waizi, kanawosha aina yote Madini ya Vito, nimekutumia na picha zake, unaweza kuzitoa ili zikusaidia kupata wateja. Mimi nili nunua SOUTH AFRICA million 35. lakini mimi nauza million 15, nina madeni.
II. Kitu chapili nauza ni JCB, yenyewe yinatatizo kidogo yinatebea kwenda nyuma tu, jino moja yabele kwenye gear box yime meguka, mnaweza kupata DAR hukoko, mimi mwaka jana niliuliza mtu moja huko huko aliniabia LAKI 5, lakini hakuniletea PAKA LEO
PICHA ya jino hilo nimekutumia na PICHA ya JCB, NAYIUZA JCB million 18.

111. PICHA zote nimeabatisha unaweza kuzi download kama unaona zikusaidie.

Kazi njema
Edward
Shinyanga DSC00333.JPG DSC00821.JPG DSC00331.JPG DSC00334.JPG DSC00827.JPG
 
Edward - 0765 183323
Shinyanga
 
Back
Top Bottom