BMU's | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BMU's

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kajjansi, Jul 13, 2012.

 1. k

  kajjansi Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello wandugu ninaomba msaada wa kunijuza zilipo sehemu hizi. Ningependa anayejua wapi zilipo hizi BMU's ( Beach Management Units) au watu wengine huziita Landing Site. Sehemu hizi zipo ziwa victoria nachotakakujua ni je zipo visiwani au pembezoni mwa ziwa?Sehemu hizo ni kwa upande wa Mwanza-IHALE, KAHUNDA, NAMASABO,NEW KOMBE, CHATO GHATI, NKOME MCHANGANI na MCHANGANI KOME. Please nijuze kama sehemu hizi unaingia visiwani au ni beach za kutokea nchi kavu. Mwenzenu nipo katika harakati za kujiajiri
  Thanks Great Thinkers.
   
 2. ndetia

  ndetia JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 362
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  kahunda na nkome mchangani ni beach za kutokeza nchi kavu ila huko kwengine cpafahamu!
   
 3. k

  kajjansi Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana ndugu huo ni msaada mkubwa God bless.
   
 4. joseeY

  joseeY Senior Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  NAMASABO ni beach iliyopo kisiwani Ukerewe
   
 5. k

  kajjansi Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru ndugu God bless you.
   
Loading...