Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Arusha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by joseeY, May 24, 2012.

 1. joseeY

  joseeY Senior Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuna jamaa yangu mmoja anatafuta chumba kikubwa na kizuri cha kupanga maeneo ya Sanawari, Mianzini, Sakina na maeneo ambayo yapo karibu ya Arusha Technical college. Chumba hicho kiwe self contained. Kwa yeyote mwenye ufahamu mahali ambapo kuna chumba chenye sifa kama hizi tafadhali asisite kunijulisha.
   
Loading...