Kikwazo kikuu ni miundo mbinu ndio maana hadi sasa ni sehemu chache tu wameunganisha majumbani. Mpaka sasa mteja mkuu wa hiyo gesi ni Tanesco, Viwanda vya cement, Dangote
CNG inatumika jikoni hiyo mikocheni kuna nyumba kibao za wadosi wanatumia kikubwa kuwe na pressure Regulator. Nimehusika kuweka meter kwenye baadhi ya nyumba chini ya Gasco
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.