Recent content by jonaking

  1. jonaking

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

    Pole sn
  2. jonaking

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

    Kiukweli trump amechapia kwa hili sababu ili jambo litaleta Vita kali kati ya nchi za kikristo na za kiislamu na pia inakuaje anatatua jambo kwa maslahi ya upande mmoja bila ata ku consult UN
  3. jonaking

    JamiiForums Tanzania Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

    Jipange sn hapo uchomoki labda uombe msamaha tu
  4. jonaking

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Am really interested in this business and thanks alot for the knowledge but I really wish one day the knowledge u have give me to help me toward goals.thanks alot
  5. jonaking

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuungane, Tumuunge Mkono Rais Wetu

    Mimi mwenyewe namuunga Mh JPM kwa mambo mazuri anayoitendea nchi hii my God bless him and guide him to the glory of this country Tanzania
  6. jonaking

    JamiiForums Tanzania Wanaume, sio vizuri kudhalilisha wanawake waliovaa nguo fupi kwakuwa si mwanamke wako

    Shida watu wana usongo ndo maana
  7. jonaking

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananibania sex

    Huyo kuna mtu anamkaza usidanganyike we anakufanya bosheni au plan B mambo yakienda kombo na pia inawezekana usifanikiwe kumuoa
  8. jonaking

    JamiiForums Tanzania CANADA : Watu wanne wauawa kwa kupigwa risasi msikitini

    Ila kiukweli vita za kidini hazina mantiki kwenye hii dunia sababu kila mtu ananjia yake ya kumuabudu mungu awe mkrisgo au muislamu mungu ni yule yule.
  9. jonaking

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa Gambia, umezidi kuipunguzia Afrika heshima nje ya Afrika!

    Kwl hii ndo suluhisho la ubepari katika nchi na ndo njia yakipekee yakuimarisha democrasia lasivo wanyonge wataendelea onewa
  10. jonaking

    JamiiForums Tanzania Je, Rais ana mamlaka ya Kumvua Mtu "Ubunge"?

    Ukweli ni kwamba rais anamaamlaka ya kumvua mbunge nafasi na kuchagua mwingine mda wowote maana mbunge hana security of tenure ambayo ni kinga waliyonayo watendaji wakiserekali ambao wenye kinga hio hawawezi fukuzwa pasipo kusikilizwa na kufata utaratibu husika
  11. jonaking

    JamiiForums Tanzania Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

    Kwn kuwa bikra ndo kuwa na tabia njema
  12. jonaking

    JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani niweze kumuacha mume wa mtu?

    Kwl bora tu useme ukweli haina maana umfanyie visa
  13. jonaking

    JamiiForums Tanzania Zitto, ungana na wapinzani wenzako...

    Kiukweli siasa kwenye inchi imekuwa drama sielewi wap tunaelekea na sizani kama hii ndo njia yakutekeleza matakwa ya katiba katk inch
  14. jonaking

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi

    mimi ni mvulana mwenye miaka 22 natafuta kazi kwenye sector au kampuni yeyote Nina diploma ya law(sheria) naombeni sana no zangu 0757140473
Back
Top Bottom