CANADA : Watu wanne wauawa kwa kupigwa risasi msikitini

CANADA : Watu wanne wauawa kwa kupigwa risasi msikitini

kwani lazima waislamu wakae kwenye nchi za makafiri? rudini kwenu.
Hawapendani sababu hawakujengewa misingi ya Upendo tangu wadogo ndo maana ukimbilia nchi za makafiri wakaonyeshwe nn maana ya upendo na thamani ya utu,japo hawana shukrani watawalipua.
 
embu jiulize hawa ISS, BOKOHARAM, ARQUIDA wanaotekeleza mauaji ktk nchi zao tena zilizo n waislam wng wanawaua wakna nani hasa?, hiv ukilipua katika soko au mji wa iraq au Libya unawaua wakna nani hasa waislam au wakristo?, na ukisema aya makundi si ya kislam nakupinga coz awa ni waislam hasa na wenyewe wanajitangaza hadharan kua ni waislam tena wanaotekeleza maagizo ya mtume ya kuua wale wote wasio waislam.
you have to think twice about islam
Sio waislamu ukitaka kujua sio waislamu soma historia ya ugaidi, dhana ya ugaidi ilianzia wapi,nn malengo yake,nani wafadhiri wa makundi hayo na vp mchakato kuhusu kuelekea Kwa new world order. Makundi yote ya kigaidi mfadhiri Mkubwa ni mmarekani,lengo ni kuuza silaha,kuusambaratisha uislam kuufanya uchukiwe na upigwe vita na watu,kuilinda israel nk,msaada zaidi soma kuhusu ugaidi,ngoja tuone trump km kweli ana dhamira ya kupambana na ugaidi.
 
embu jiulize hawa ISS, BOKOHARAM, ARQUIDA wanaotekeleza mauaji ktk nchi zao tena zilizo n waislam wng wanawaua wakna nani hasa?, hiv ukilipua katika soko au mji wa iraq au Libya unawaua wakna nani hasa waislam au wakristo?, na ukisema aya makundi si ya kislam nakupinga coz awa ni waislam hasa na wenyewe wanajitangaza hadharan kua ni waislam tena wanaotekeleza maagizo ya mtume ya kuua wale wote wasio waislam.
you have to think twice about islam
Umeshaambiwa ukimuona muislam anamshambulia muislam mwenzake ujue anatumika trump alishawahi sema ISIS imeanzishwa na kufadhiriwa na marekani alafu wewe unashangaa
 
Ukitaka kuwamaliza waislamu waaminishe wanapigania dini hapo watauwana bila kujali kila MTU anaipigania dini,hii mbinu utumiwa sana na Freemasons Kwa ajili ya kupata mafuta na kuuza silaha.Wanapewa silaha wanabadilishana Kwa mafuta.
 
Hivi unadhani america na ulaya hakuna waislamu wa kuzaliwa zaidi ya wahamiaji?

Nadhani unahisi mzungu hawezi kuwa muislamu, but mind you huko ulaya na america wapo waislamu wa kuzaliwa kabisa. Na hao waende kwao wapi?

Labda kama hujawahi kutembea, Spain, America na ulaya yote kuna waislam miaka mingi iliyopita na kuna miskiti ya miaka zaidi ya kale kabisa.
Pale Spain kunamisikiti kabla ya vita vya msalaba
 
Waache waislam waendelee kuuana tu,maana wauaji ni vijana wa kiislam toka nchini Morocco
 
Hizo siasa, suni anamuua shia, shia ana muua ahmadiya, suni anamuua ahmadiya, shia anamuua suni......Mimi nakuambia hii dunia ikiendeshwa na waislamu haitakua salama Teena maana kila mmoja atataka atawale, nadhani unajifunza kwa IRan na Saudi Arabia
Na umesahau Ireland pentecoster na Rc au sababu matukio hayo ayapewi promo kwenye media?
 
Pale Spain kunamisikiti kabla ya vita vya msalaba
Hiyo ni wakati ambapo uislamu umetamalaki duniani kote na hali ya usalama ilikuwa nzuri kupita maelezo kwa miaka 800

Lakini kwa sasa hali mbaya sana uvamizi wa mji kama Iraq, Yemen, Syria na Libya kwa kisingizio cha ugaidi na wizi wa rasilimali za miji kama mafuta ndo hali ilivyo hivi

Ajabu ni kwamba kila ambapo wameenda ili kuleta amani.. Wameacha maafa na uharifu dhidi ya binadamu

Mungu nusura waja wako...! Ameen
 
Ila kiukweli vita za kidini hazina mantiki kwenye hii dunia sababu kila mtu ananjia yake ya kumuabudu mungu awe mkrisgo au muislamu mungu ni yule yule.
 
Bas tu umeiongea kwa msisitizo
Sema kuna haters wengi tu mbona wana get away na hates zao.
Ujue saa nyingine mambo haya tabiriki haya
Trust it will catch up with them. ..it's just a matter of time. ..
 
Wangeuawa Wakristo wakiwa kanisani watu wangeshadadia kuwa Allah humpa dhawabu atakayemtekeza kafiri.
Hiyo hskuna katika anaeua bila sababu nae atauliwa. Mkiristo sio Kafiri na hata kwenye quraan hajaitwa wenye kuwaita Kafiri anakufuru. Allah atupe subira na tuheshimiane katika imani. Na binadamu wote wenye kuamini Mungu kila dini ina njia yake ya kumtafuta mmoja tu Nae Mwenyezi Mungu. Na kila dini wanamuita katika jina la imani yao. Kuna Allah,Jesus,Yehova,RamRam, Elai lakini anatafutwa ni mmoja tu. Na dini zote makatazo ni yale yale.
 
Back
Top Bottom