Mpenzi wangu ananibania sex

Yaani kwa kufupi wataka upige show kidogo au sio.

Manyama ndani...., manyama nje..., unazama..., unaibuka dah.

Mtoto mbaya wewe kama nakuona vile. Ushawahi kujiuliza kwa nini Bwana Mungu akasema hadi ndoa ifungwe ndio uguse? Au jiulizw kwa nini Yesu hakuwa na dem

Yaani kwa kufupi wataka upige show kidogo au sio.

Manyama ndani...., manyama nje..., unazama..., unaibuka dah.

Mtoto mbaya wewe kama nakuona vile. Ushawahi kujiuliza kwa nini Bwana Mungu akasema hadi ndoa ifungwe ndio uguse? Au jiulizw kwa nini Yesu hakuwa na dem
kwa kweli.umenifurahisha kwa maneno yako.
 
Someni kwanza sio unapapatikia kwichikwichi piga kitabu Mdogo wangu mihemuko ikizidi nenda kimboka 2000 unashusha mzigo sepa!
 
Huyo kuna mtu anamkaza usidanganyike we anakufanya bosheni au plan B mambo yakienda kombo na pia inawezekana usifanikiwe kumuoa
 
kama wewe ni mkristo nenda kanisani katoe shukrani ya pekee kwa kupata mtu anayejielewa maana wengi sana hawako hivyo.
IF YOU DON'T HAVE TRUST IN RELATIONSHIP YOU WILL ALWAYS SUFFER"
Muamini mtu wako,kuhusu hali inayokutesa endelea kuvumilia kwan miaka uliyovumilia ni mingi na kipindi kilichobaki ni miaka michache sana,endelea kumuombea mtu wako kujiombea na wewe mwenyewe.
 
Kwani we unaonaje mkuu?

Ila jiulize,mpo kwenye mahusiano miaka miwili na hajawahi kukuomba hela.

Usipoombwa wewe,tambua yupo anayeombwa. Na usipomkaza wewe,basi yupo mwingine anayefanya hivyo.
 
Mkaushieee kula wengne akihisi ametosha mle na yeye
Kwan lazma umle yeye tu?
 
Aweza akawa wife material broo hebu mchunguze vizur mana km angekua money oriented angekua anakuchuna tu na sex hakupi... Ni naona endelea naye tu km umebanmwa hebu tafuta nje kdg lakin endelea naye kwa mipango ya maisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom