Nitumie mbinu gani niweze kumuacha mume wa mtu?

nachasudwa

Member
May 17, 2015
72
34
Nitumie mbinu gani niweze kumwacha? Hajanikosea kitu nimepata mtu anayeweza kuwa mume kwangu, tumekuwa wote mwaka wa nne sasa tumepanga mengi na tumefanya mengi.

Naomba mnisaidie mbinu ya kumwacha bila ugomvi.
 
Nitumie mbinu gani niweze kumwacha?hajanikosea kitu nimepata MTU anayeweza kuwa mume kwangu,tumekuwa wote mwaka wa NNE sasa,tumepanga mengi na tumefanya mengi.
Naomba mnisaidie mbinu ya kumwacha bila ugomvi
Una sababu gani ya kumuacha?
 
si umwambie ukweli...
image.jpeg
 
Una Uhakika huyo uliyempata ana Uhakika wa Kukidhi mahitaji yako yote?

Kama ndiyo, mchunie tu huyo mzee atulie na Familia.

Kama HAPANA na kuna kitu mzee atakua msaada kwako, mueleze tu Ukweli kuwa mi nimepata Mchumba lakini uhusiano wetu hautafikia Tamati badala yake tutaendelea kupeana mambo kama kawaida. Ataendelea kukusaidia.

Alafu siku hizi mna tambia mbaya sana, mnatuita sisi "SPONSORS".
 
Huyo ashakua mume wako wa kufikirika, kwa sababu mambo mengi ya mke na mume mmefanya, kama kugombana, kukwaruzana,kudekeana, kutishiana kuachana lakini hamjaachana, na kumuacha mtu mliyezoeana ni vigumu sana kama hamjahamua.

Cha kufanya; mwite kaa nae mwambie kuwa umechoka kuishi maisha mnayoishi hivyo akupe fursa ya kuolewa, mwambie kwamba unataka nawe huwe na mume wako kama yeye alivyo na mke wake, kama ni mwelewa atakuelewa.
 
Kwanza lazima ujue kuwa ratio ya mume mmoja na mke mmoja sio sawa.huyo Mzee nae ni mumeo. Kwann ili mtu awe mume anahitaji sifa zipi
 
Una Uhakika huyo uliyempata ana Uhakika wa Kukidhi mahitaji yako yote?

Kama ndiyo, mchunie tu huyo mzee atulie na Familia.

Kama HAPANA na kuna kitu mzee atakua msaada kwako, mueleze tu Ukweli kuwa mi nimepata Mchumba lakini uhusiano wetu hautafikia Tamati badala yake tutaendelea kupeana mambo kama kawaida. Ataendelea kukusaidia.

Alafu siku hizi mna tambia mbaya sana, mnatuita sisi "SPONSORS".
Sina uhakika kwakweli na huyu mchumba,ila sitaki kumdanganya yeyote...nataka kuwa huru katika mahusiano mapya
 
Huyo ashakua mume wako wa kufikirika, kwa sababu mambo mengi ya mke na mume mmefanya, kama kugombana, kukwaruzana,kudekeana, kutishiana kuachana lakini hamjaachana, na kumuacha mtu mliyezoeana ni vigumu sana kama hamjahamua.

Cha kufanya; mwite kaa nae mwambie kuwa umechoka kuishi maisha mnayoishi hivyo akupe fursa ya kuolewa, mwambie kwamba unataka nawe huwe na mume wako kama yeye alivyo na mke wake, kama ni mwelewa atakuelewa.
Asante sana kwa ushauri wako ....
 
Achana nae kaolewe binti! Huyo anajiburudisha tu kwako anaempenda yuko nyumban. Kwahyo kama umempata anaekupenda kweli achana na mume wa mtu. Bcz u're wasting ur tym
 
Pole sana

Maana unamlima mref
Sana,wakupanda
Kitonga,n cha mtoto

Huyo wa mtu hata ukipata
Ndoa hauto muacha bali
Utakua ddo umpa mzigo
 
Back
Top Bottom