Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Ukiondoa Mabepari wa Kizungu ambao ndiyo wako nyuma na huu uvamizi wa nchi ya Gambia, watu baki wanajuliza maswali magumu na wankosa majibu!
Nchi ya Gambia ni nchi huru na inayojitegema (sovereign state) na uchaguzi ni mambo ya ndani ya nchi, kama Raisi amegoma kutambua matokeo ya uchaguzi ni suala la ndani ya nchi, lkn kilichotokea Gambia ni ajabu, nchi jirani zinajipanga kuivamia nchi nyingine wakti hata Bunge la Gambia limetoa muda wa miezi mitatu swala uchaguzi kushugulikiwa, Raisi Jammeh amekata rufaa Mahakama ya nchi hiyo kupinga uchaguzi na hii ni Kikatiba kabisa, lkn Waafrika wanavamina, watu wanashangilia!
Lakini wanaoshangilia hawaelewi hii maana yake nini kwenda mbele, kama nchi tu zinaweza kujipanga kuamua kuivamia nchi nyingine kwa nguvu kwa kuwa hawampendi Kiongozi wa nchi hiyo, ni maendeleo hatari sana huko mbele ya safari, lkn kama ilivyo kawaida sisi Waafrika ni watu wa kutumiwa na tunachekelea!
Hivyo watu wengi nje ya Afrika wameshangazwa sana na hiki kitendo kwani hakuna Bara lingine watu wanaofanya hivi, jiulizeni mbona Waasia hawavamii Myanmar? Mbona EU hawavamii Belarus? Mbona Marekani Kusini hawavamii Venezuela au Kolombia?