Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Zito sio mjinga hivyo! mwaka jana wengine walitapeliwa ooohhh tuwe kitu kimoja badala yake amri inatoka cdm mnakuwa wanachama mnakufwata yao sio mliokubaliana.
Amri ipi, kwa mfano?Zito sio mjinga hivyo! mwaka jana wengine walitapeliwa ooohhh tuwe kitu kimoja badala yake amri inatoka cdm mnakuwa wanachama bmnakufwata yao sio mliokubaliana.
Utashirikianaje na chama chenye kiongozi mmoja?Zitto alishaonyesha mara kibao nia ya ACT kushirikiana na UKAWA, lakini Kila akiwaandikia barua washirikiane hawamjibu!. Sasa yeye afanyeje zaidi ya kwenda solo?
Pili ni ujinga kutaka kumfanya Zitto awe Subordinate wa Mbowe kwenye muungano wowote, ni lazima uwe muungano of equals bila kujali Chadema kwa sasa ni chama kikubwa kuliko ACT Wazalendo.
CCM wana mbinu nyingi za kuwavuruga Wapinzani mfano sasa wamewekeza kwa Lipumba wanakula pesa za Umma kuanzia Msajili na Madalali wa siasa kwa kisingizio kuwa wanazitumia kuua CUF na kudhoofisha ukawa, kufa kufaana Wajanja CCM wanaishi kwa pesa ya kuwakoroga Wapinzani.Zito sio mjinga hivyo! mwaka jana wengine walitapeliwa ooohhh tuwe kitu kimoja badala yake amri inatoka cdm mnakuwa wanachama mnakufwata yao sio mliokubaliana.
CCM wana mkuu wa kitengo cha fitna,uchakachuaji na kamati za Ufundi, huyo mtu ana bajeti kubwa sana na akitaka pesa mda wowote anapewa toka Hazina,kazi yake kubwa ni kuwakoroga Wapinzani kwa kuwachonganisha,kuwahujumu kwa njia mbalimbali ili wakose umoja na kuaminiana kisha CCM wanapenya humo humo,January leo hii amekuwa bilionea kupitia Kitengo hicho kwani pesa nyingi inayobaki huishia tumboni mwake.
Wapinzani hawana pesa lakini CCM wana serikali ni rahisi kuchota pesa hazina kimya kimya kama walivyofanya kwenye mkutano mkuu wa CCM baada ya kuwa umekwama kwa kukosa pesa, mkuu wa Kitengo February huchota pesa hata toka kwa wahindi matajiri wanachama wa CCM na hata wale wasio na chama.Hiyo pia ni mbinu ya kisiasa inahitaji magenius maana ingekuwa rahisi upinzani wangetumia
Unaonaekana unapenda sana kulishwa siasa za chuki badala ya wewe mwenyewe kuwa objective!! Unatia aibu unapohusisha siasa na chuki binafsi... unaweza kutuambia hizo sababu binafsi unazodai ndizo zinamfanya Zitto "amchukie" JPM?Mnafiki tu huyo, yeye ana sababu zake Binafsi za Kumchukia Magufuli, sasa hivi kapata loop holes za kupitisha malengo yake,
siku ile ya raisi kulihutubia Bunge, wabunge wote wa UKAWA walifukuzwa yeye akabakia na Raisi akamsifia kuwa ni mwanasiasa mkomavu na yeye akabaki kukenua meno tu
Wenzie walishayaona Mapungufu ya JPM yeye akuyaona?, iweje leo umshauri aingie kwenye huo UKAWA?
Hivi nikuulize Zitto akiletwa na Mbowe ndani ya ukawa wewe utamzuia?......Mnafiki tu huyo, yeye ana sababu zake Binafsi za Kumchukia Magufuli, sasa hivi kapata loop holes za kupitisha malengo yake,
siku ile ya raisi kulihutubia Bunge, wabunge wote wa UKAWA walifukuzwa yeye akabakia na Raisi akamsifia kuwa ni mwanasiasa mkomavu na yeye akabaki kukenua meno tu
Wenzie walishayaona Mapungufu ya JPM yeye akuyaona?, iweje leo umshauri aingie kwenye huo UKAWA?
Hivi nikuulize Zitto akiletwa na Mbowe ndani ya ukawa wewe utamzuia?......
Kumbuka hata lowassa mlikuwa mbamtukana hivyo hivyo lakini alipokuja mkamsafisa............
Uliona Obama na Hillary walivyokuwa wakigombana 2008 lakini juzi Obama ameach ikulu na kwenda kumpigia kampeni Hillary.......
Mtu kama Trump anasima kwenye kapeni anawaambia watu kuwa akishinda anamshitaki Hillary watu wanamshangilia lakini baada ya kushinda anasema sitafanya hivyo pia hao hao wanamshangilia .........
Sasa hivi umoja Wa ulaya unaweka vikwazo Kwa Burundi Kwa Rais kuongeza muhura Wa tatu wakati Chancellor Wa ujerumani anataka kujiongezea muhura Wa tatu lakini huko kwao ni sawa tu lakini Kwa Burundi si sawa.....
Hiyo ndio siasa, siasa ni unyumbu mtupu.............
Ndio maana watu wengine tulijitenga na siasa za vyama tunapenda watu personally akifanya vizuri tunampongeza akikosea tunamwambia ukweli ........
Kiufupi siasa ni ngumu sana duniani kote ............