Recent content by JohnShao

  1. J

    Saed Kubenea kugombea ubunge 2015 kupitia CHADEMA

    Saed Kubenea is one of the best of the new thinking Tanzanians as contrasted to the old generation of njaa kali opportunists. The nation is in dire need of him and his kind. Best wishes.
  2. J

    Africa on the Move

    Africa on the Move Africans are hardworking, highly innovative people. What is holding them back is the predominance of the NEGATIVE OUTLOOK at the leadership level: among politicians, senior govt officials, leading academics and the so-called PRO-POOR (read Pro-Poverty!) NGOs, both...
  3. J

    Siku Tanganyika na Zanzibar Tulipopigana Vita

    Siku Tanganyika na Zanzibar Tulipopigana Vita Katika “Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha” (by Minael-Hosanna Mdundo, DUP 1999, pg 28-29), Sheikh Thabit anaelezea vita iliyotokea kati ya Tanganyika na Zanzibar mwaka 1914 wakati Thabit ana miaka 10. Anasema: “Kutokana na mikataba ile ya...
  4. J

    Mapato ya Obama na Kodi anazolipa

    WASHINGTON – President Barack Obama is making less money than he used to, though it's still a lot: He and wife Michelle reported income of $1.73 million last year, mostly from the books he's written, according to his just-filed tax return. That was down from the $5.5 million of a year earlier...
  5. J

    Watoto wetu wanavyopambana na kifo wakienda/kutoka shule

    Picture From: "Tanzania Daima" April 15, 2011, Page 1 Jamani, watoto wetu wana-risk kifo kila siku wakivuka barabara hadi wanashikana mikono ili kupambana na kifo au kama ni kufa wafe pamoja. Inasikitisha mno! Walio na wajibu wa kuhakikishia watoto wetu usalama ni Serikali, Wazazi na Walimu...
  6. J

    Ijue taaluma ya Kuchakachua kura

    Wizi wa kura una historia ndefu na umeshatumika katika nchi kadhaa duniani. Kwa hiyo mbinu zake zinajulikana nazo ni pretty standard ijapokuwa kuna wataalamu wa uchakachuaji wanaozungukia serikali ambazo zimepoteza imani ya wananchi na kuzishauri, kwa malipo ya bei mbaya, namna ya kuchakachua...
  7. J

    GE2010 Kikwete afichua anamiliki ng’ombe bora 400

    Kisa ufagaji wetu siyo wa kisasa na kilimo chetu siyo cha kisasa kiko kwenye mfumo wa kumiliki ardhi na siyo ujinga au kukosa elimu kwa wafugaji na wakulima. Kufanya ardhi mali ya serikali kunawaneemesha tu watendaji wa serikali na kuwadhulumu wazalishaji hasa wakulima na wafugaji. Kikwete...
  8. J

    Precission Air, naomba kuuliza

    Ninavyowafahamu mimi wana On-Line-Booking. Ukishawaambia unataka flight ipi, ya kwenda wapi na lini wanakujibu haraka tu. Wanakupa booking ya muda, bei, namna ya kulipa na deadline ya kulipa. Kama hujalipa by the deadline waliyokupa wanauza nafasi yako. Hawawezi kuweka nauli kwenye website kwa...
  9. J

    Migomo ya Wafanyakazi China

    Kwa wale ambao wangetaka kufuata nyayo za China (bila uelewa wa Mao wala wa Deng Tsiao Ping) huku wakiogopa migomo ya Wafanyakazi kuliko wanavyoogopa ukimwi... By Don Durfee – 15 July 2010 HONG KONG (Reuters) – A strike has broken out at a south China factory supplying parts for...
  10. J

    The worst dictators named by US organisation

    Ama kweli yule mtu aliyesema Afrika inashindwa kuendelea kwa kuwa fikra za wasomi wake zimeganda kwenye mambo ya kale: utumwa (150 years ago), ukoloni (60 years ago), Lumumba (50 years ago). Shah of Iran, Mobutu .... Wakati dunia inaenda mbele kwa kasi kuliko wakati wowote katika historia ya...
  11. J

    Mabunge yanayofanya Kazi na la kwetu Bongo

    Mabunge yanayofanya Kazi .... na la kwetu Bongo.
  12. J

    Kinachohitajika ili nchi ya Kiafrika iwe ya Kisasa …

    Kinachohitajika ili nchi ya Kiafrika iwe ya Kisasa … Facing up to reality in the 21st century “African nations need to face up to the harsh realities of surviving in a highly competitive global system.” By Tunde Obadina Published 04/11/2008 View all articles by Tunde Obadina The...
  13. J

    Polisi Wanapopotosha Kazi ya Polisi

    Polisi Wanapopotosha Kazi ya Polisi: SANI, Apr 14-16, 2010.
  14. J

    Awashangaza Wanasayansi

    You shouldn't believe everything you hear, especially amazing things involving "holy men". Behind this story there is a simple and straight forward answer even if the military researchers fail to discover it.
  15. J

    JWTZ kuvunjwa -- kuanzishwa kwa Jeshi la Shirikisho la Afrika Mashariki (JSAM)

    Ahsante mkuu "Mlenge" kwa ufafanuzi. Tatizo ni je lengo ni kupunguza gharama? Kama lengo ni kupunguza gharama mbona tusipunguze idadi ya mikoa, ya wilaya, majimbo ya uchaguzi, idara za serikali na idadi ya wafanyakazi serikalini? Badala yake wamekuwa wakiongeza na kuongeza tu. Kama sasa...
Back
Top Bottom