Saed Kubenea kugombea ubunge 2015 kupitia CHADEMA

Saed Kubenea kugombea ubunge 2015 kupitia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Habari hz zinanipa njia ya kumtathimin Kubenea hasa juu ya kazi zake enzi za Mwanahalisi na kupata jibu kuwa alikua ana2miwa na wala hakufanya kaz kwa matakwa yke. Hupaswi kujiuliza kwa nini habari za Ritz zinathibitisha juu ya nlichokisema, embu tizama konfidensi ya KUBENEA kutaka kugombea ubunge imejengwa na utabili wa SLAA alipomuhakikishia ushindi. Sasa unafikiri enzi zile za MWANAHALISI ujasiri wake ulijengwa na nini kama si SLAA?
 
Habari yenyewe i
meletwa na kilanzi!
Hivyo ni propaganda tu za kilanzi
 
[h=3][/h]
[h=5]Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].

Hii itakuwa habari njema kwa tasnia ya habari kujiingiza katika masuala ya uongozi wa kisiasa, Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada ya kushauriana na Dr Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushinda Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa CHADEMA.

Kila la Heri Saed Kubenea.
[/h]
 
Naunga mkono hoja,all the best Kubenea na kwa namna ulivyo unaweza sana.
 
Jimbo alikuwa analitaka kati ya masalia mmoja! Kila la kheri Said kubenea
 
Hela za nini mkuu? utaratibu wa kutoa rushwa ndo' ushinde ni sera za CCM, huku CHADEMA hatutoi wala kupokea rushwa. Kubenea siyo jembe bali ni Catapiller halina mpinzani; kila la kheri Kamanda Kubenea.
 
Huyu nngu007 ni Riz nini? Mbona Riz alishawahi kuleta habari hiihii, yenye maelezo hayahaya na picha hiii hii?
 
Cdm ijipange vizuri kuwakomboa kifikra wapiga kura wa pwani kwani wamebobea kuuza kura zao kwa wagombea. Chadema ijipange kushinda kiti kwa hoja na sio kuwaiga wagombea wa CCM wanaotegemea kuhonga.
 
Huyu nngu007 ni Riz nini? Mbona Riz alishawahi kuleta habari hiihii, yenye maelezo hayahaya na picha hiii hii?
hii habari iliwahi kipita hapa kitambo kidogo, mpaka yule masalia akaja!
 
Anaweza naatashinda. napendekeza Dr.Ulimboka atangaze nia ktk jimbo la Kinondoni kupitia CDM.
 
Saed Kubenea is one of the best of the new thinking Tanzanians as contrasted to the old generation of njaa kali opportunists. The nation is in dire need of him and his kind. Best wishes.
 
Kila la heri, MUNGU atakusimamia utashinda tu mkuu!
 
MDOMO NYUMBA YA MANENO.

suala si kupata baraka za Dk. Slaa bali ana ushawishi kiasi gani katika jimbo la kibaha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom