JWTZ kuvunjwa -- kuanzishwa kwa Jeshi la Shirikisho la Afrika Mashariki (JSAM)

Ki ukweli sijui Mlenge amelenga nini juu ya hii thread, maana nimejitahidi kufungua link zote alizotuma lakini sijaona hata moja inayosema wazi kabisa kuwa majeshi yetu na usalama wa taifa vitafuta na mbadala wake itakuwa majeshi ya EAC. Nilichoona kwenye link hizo ni mazungumzo juu ya kuongeza ushirikiano kwenye majeshi hayo. I am standing to be corrected probably my english is not that good, the following is what is written in one of the link Mlenge recommended

Integration spawns cut in military budget

army+tankers.jpg


From a budget of Sh54bn spend this financial year, the military and intelligence budget will reduce to Sh52.8bn in 2012/2013. Photo/JOSEPH KANYI
By STEVE MBOGO

Posted Thursday, April 15 2010 at 00:00

Development spending will increase as Kenya seeks to stabilise its military and intelligence spending because of reducing threats from her neighbours as a result of regional cooperation initiatives that allow sharing of defence information.

The new Budget Policy Paper from Treasury shows that Kenya's military and intelligence spending will stabilise in the next three years after a rise caused by buying military hardware in the current financial year.


From a high budget of Sh54 billion spend this financial year, the military and intelligence budget will reduce progressively to Sh52.8 billion in the financial year 2012/2013.


The spending jumped from Sh48.5 billion in 2008 to Sh54 billion - a 10 per cent increase - in the financial year ending next June because of purchase of second hand military aircraft from Jordan and helicopters from China, according to a report by the International Peace Research Institute.


The spending was linked to the upgrading of military equipment that had been ongoing since 2007.


For example, Kenya Airforce is seeking to replace its Northrop F-5 Tiger fighter jets with second hand Jordanian F-5Es with radar upgrades.


Analysts said they did not forecast major increase in military and intelligence spending because the integration of the East Africa Community and formation of the Africa Standby Force will reduce the threat nations face from each other.


Joshua Kivuva, a political science lecturer at the University of Nairobi, said the integration of the East Africa Community will enhance the level of confidence among regional countries resulting in reduction of threats.


Reduced risk of war


EAC members are Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda and Burundi with South Sudan and Ethiopia being the next likely candidates to join the community.


"There is going to be reduced risk of war when regional cooperation is strong," said Dr Kivuva.


The EAC, for example, has developed a common Peace and Security Protocol, a legal plan on how the countries will cooperate on issues of security.


Cooperation steps taken so far include joint training exercises and a defence chief's conference held in Uganda in February.


Analysts say that the formation of the Africa Standby Force that will be a rapid reaction peacekeeping and stabilisation army is also a good reason why military budgets could stabilise.


"Cooperation is creating opportunities to share military and criminal intelligence. So you know what your neighbour is doing and therefore the threat levels become minimal," said David Ndolo.
 
:angry: aHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA HIVI KWELIIIIIIIIIIIIIIIIII?????????? WANAMEJI NA MIKATABA YETU YA MADINI JE??? NCHI TAJIRI INAJIUNGA NA NCHI MASIKINI
 
Ki ukweli sijui Mlenge amelenga nini juu ya hii thread, maana nimejitahidi kufungua link zote alizotuma lakini sijaona hata moja inayosema wazi kabisa kuwa majeshi yetu na usalama wa taifa vitafuta na mbadala wake itakuwa majeshi ya EAC. Nilichoona kwenye link hizo ni mazungumzo juu ya kuongeza ushirikiano kwenye majeshi hayo. I am standing to be corrected probably my english is not that good, the following is what is written in one of the link Mlenge recommended
Integration spawns cut in military budget


Kilembwe,

1. You have cherry-picked one article which I linked to show rationalization used but conveniently chose to ignore those articles that specifically ("wazi kabisa") say EAC is about to establish joint army.

2. My intention to wake-up the slumbering security organization in Tanzania to stop the demise of the United Republic of Tanzania and its institutions under the auspices of EAC.

3. What are your motives for trying to hide the fact that EAC wants to have joint Army, joint 'Usalama wa Taifa' la Shirikisho la Africa Mashariki?


Watanzania wenzangu Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,
Tuamkeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
It's not too late.
We've got only one month to save our country, before it is too little, too late!

And for those enemies of Tanzania who wants to twist the facts, here are (re)posted (emphasis added):





AS different sectors coalesce into the regional co-operation under the ambit of the East African Co-operation, considerations to include defence are on the table.

During his address at the East African security meeting at Munyonyo in October 2009, President Yoweri Museveni called for the creation of an East-African defence force to solve conflicts and counter threats both from within and outside the region.
(http://www.somalipress.com/news/2010-jan-11/east-africa-moves-closer-having-joint-army.html)

[JW ya Uganda haina tatizo na uanzishwaji wa JSAM]

The UPDF supports the formation of a joint army a among the east African community states. UPDF believes this will handle conflicts in the region.

The proposal was mooted during a meeting of delegates from the five member countries in Kampala.

UPDF political commissar Colonel Phenihas Katirima welcomes the union saying they will back any cooperation which advocates for peace and security in the region.

Katirima says merging of forces would boost the region's strength.
http://www.newvision.co.ug/D/10/10/696988

[Hii ni toka 'Hansard' ya bunge la uganda, maneno yote yalikoanzia]

Mr. Speaker, hon. Members, last but not least, I intend to advocate for legislation that will promote peace and security. This is because the two are major pre-requisites for development, and a big measure of regional integration. I am, for instance, looking forward to the day when the three partner states will have a joint army, will have a joint police, and will share intelligence information without suspicion - (Applause). Mr. Speaker, I intend to achieve this using the experience, the knowledge, and the skills I have got in conflict resolution as already pointed out.
http://www.parliament.go.ug/hansard/hans_view_date.jsp?dateYYYY=2001&dateMM=10&dateDD=30
[Ofkozi, hata Watanzania wenzetu walioko kwenye EAC wanapembejea jeshi la pamoja]

He said the planned establishment of a joint regional defence force would also boosts the prospects of the realisation of an EAC political federation.

"Defence is a major mover of any political unity," Mr Mwapachu said, noting that member states would build on the efforts already undertaken in the previous year to foster cooperation, such as the joint military exercises.
http://www.businessdailyafrica.com/Company%20Industry/-/539550/840870/-/t4ow0az/-/index.html
 
So ndugu Watanzania wenzangu,

Let us not be distracted by red-herring posts: Tanzania, as a United Republic, inafutwa, with it, taasisi zote zinazofanya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

'Usalama wa Taifa', Jeshi la Ulinzi, Polisi, Uhamiaji vyote vinafutwa ili Tanzania isiweze kufukuta tena toka EAC kama ilivyofanya 1977.

The sooner we get out of this mess, the better.

Mlenge
 
Ahsante mkuu "Mlenge" kwa ufafanuzi.

Tatizo ni je lengo ni kupunguza gharama? Kama lengo ni kupunguza gharama mbona tusipunguze idadi ya mikoa, ya wilaya, majimbo ya uchaguzi, idara za serikali na idadi ya wafanyakazi serikalini? Badala yake wamekuwa wakiongeza na kuongeza tu.

Kama sasa tarafa zinafanywa wilaya, kata zinafanywa tarafa, vijiji vinafanywa kata, n.k. Hivyo ni kuongeza tu idadi ya walaji wasiozalisha (Nyerere akiwaita wanyonyaji), na kuongeza ukamuaji na umaskinishaji wa wananchi huku utoaji wa huduma zinazotakiwa kutolewa na serikali ukiwa umezidi kuzorota na huduma nyingine kupotea kabisa kabisa. Kweli kupunguza gharama ndiyo njia ya maendeleo, lakini hapa kwetu tuko kwenye gear ya reverse (gia ya rivasi), tunataka kuelekea kwenye maendeleo kinyumanyuma.

Kwa njia hii, tumnukuu Makwaia, "Je, Tutafika?"
 
JWTZ inasubiri adui aje na mizinga na makombora akitaka kuteka nchi ndio wapambane naye. Lakini adui akija na makaratasi (yaliyoambatana na posho?) kama vile EAC, hawana habari naye, hata kama anatimiza malengo yaleyale, na kuzidi, kama angejaribu kuja kwa makombora.

Kwa kuwa JWTZ ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambayo jamhuri na mipaka yake inafutwa na EAC, Uhamiaji nao unakuwa wa EAC (a.k.a viza moja), hakuna sababu tena ya kuwa na JWTZ, ambayo kazi yake tunaimbiwa kuwa ni kulinda mipaka ya Tanzania, bali tuwe na Jeshi la Shirikisho la Afrika Mashariki (JSAM), kama ambavyo jitihada zinavyokamilishwa.

Tayari mipango iko pia mbioni kufuta Jeshi la Polisi la Tanzania na kuanzisha la Afrika Mashariki.

Kadhalika, Usalama wa Taifa Tanzania utafutwa na kuanzishwa ule wa EAC ili kupunguza gharama.

Mkurugenzi hili ni wazo lako au umeinasa mahali? Unafikiri sovereinity ya nchi inakwisha kwa muungano huu? Ukishaondoa jeshi hakuna tena sovereinity and therefore treason can not be committed against the existing Government. Naona hiyo haitawezekana labda kama EAC ndo itakuwa sovereign.
 
Twende nikuonyeshe kaburi lake; washachimba hivi sasa wameenda kuuleta mwili...............Inatia uchungu!
GHAFLA....AAAAH..........TANZANIA IMEFUFUKA.........WATU WOTE MIDOMO WAZI.......\

WATENDAJI KUWA MAKINI ZAIDI, MAOFISA WALIOPEVUKA LABDA WAKITAKA TUTAWAPELEKEA CHENGE KENYA, MREMA WA TANROADS AKAONGOZE WAKALA HUKO KIGALI,IDRISA RASHID AKAWE BENKI YA BUJUMBURA..... MAGUFULI TUNABAKI NAYE.. PINDA TUNABAKI NAYE..... HALAFU TUNAMRUDISHA CHIEF WA ZAMANI WA TANROADS RAIA WA GHANA NDUGU ABEID....... TUNAFUFUA MASHAMBA YA NAFCO..... WAHINDI, WAARABU WOTE KUPITA JKT...... ZAO LA KATANI KURUDI KWA KASI YA KUTISHA..... WAZIRI ALIYEPIGA MARUFUKU MICHEZO MASHULENI TUNAMPELEKA NAIROBI (kwao?) BORA MGENI ANAYETUJALI ( dr.abeis wa TANROADS) KULIKO MWENYEJI ASIYETUJALI (Mrema wa TANROADS)
 
Unajua nikiisoma hii thread nashawishika kuioanisha na ile dhana ya BAHIMA empire, zijiashiria vyake mfano kaa huu unaoongelewa hapa..

Anyway mimi nawalaumu sana watu walioko kwene madaraka leo hii na kujidhania wako safe wao na vizazi vyao. Kama mnataka kutuibia tuibieni kisha mwende mkaishi huko Ughaibuni ninyi na vizazi vyenu, please don't bring this bloodthirsty demon EAC to our poor people please, mmeshatuchakazq kwa umaskini kiasi cha kutosha, sasa imetosha!
 
JWTZ inasubiri adui aje na mizinga na makombora akitaka kuteka nchi ndio wapambane naye. Lakini adui akija na makaratasi (yaliyoambatana na posho?) kama vile EAC, hawana habari naye, hata kama anatimiza malengo yaleyale, na kuzidi, kama angejaribu kuja kwa makombora. Kwa kuwa JWTZ ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambayo jamhuri na mipaka yake inafutwa na EAC, Uhamiaji nao unakuwa wa EAC (a.k.a viza moja), hakuna sababu tena ya kuwa na JWTZ, ambayo kazi yake tunaimbiwa kuwa ni kulinda mipaka ya Tanzania, bali tuwe na Jeshi la Shirikisho la Afrika Mashariki (JSAM), kama ambavyo jitihada zinavyokamilishwa. Tayari mipango iko pia mbioni kufuta Jeshi la Polisi la Tanzania na kuanzisha la Afrika Mashariki. Kadhalika, Usalama wa Taifa Tanzania utafutwa na kuanzishwa ule wa EAC ili kupunguza gharama.


utakuwa unaumwa sio bure-----------yaani kila kitu kiwe ni EAC, basi kama ni hivo badala ya community tuiite united, haimeki sensi kabisa eti ufute JWTZ au usalama wa Taifa sababu tu tumejiunga na EAC
 
The New World Order, starts by removing disparities. Make it easy for the orders from the worlds giants to be implemented. See Revelation 13,
Only, to give the other side of the coin, which many have neglected.
 
Du yaani tumefikia vitu kufanywa kimya kimya Tanzania basi walahi tumekwisha. Kwishny Tanzania Kwishny! hakuna kitu kimebaki unajua wanatuambia tuwape maoni kama tunataka shirikisho au lah! huku wenyewe wanaliharakisha hatutaki asilani ngo! yaani tuje tuongozwe na Madikteta! yaani ardhi yetu ije itwaliwe na wakinya?! yaani Wabunge wetu watoke mbarara? Yaani majemedari wetu watoke Kiugali? yaani Madereva,maaskari polisi, makatibu kata watoke Bunjubura? Noooooooooooooooooooooooooooooooooooo! i cant believe!
 
This can work but not with an amririjeshi mkuu, most likely with a army council consisted of the heads of the army , airforce and the navy from each country, after doing away with the mipaka , Arusha can be the best Capital we can ever have - hiko katikati !
 
Ahsante mkuu "Mlenge" kwa ufafanuzi.

Tatizo ni je lengo ni kupunguza gharama? Kama lengo ni kupunguza gharama mbona tusipunguze idadi ya mikoa, ya wilaya, majimbo ya uchaguzi, idara za serikali na idadi ya wafanyakazi serikalini? Badala yake wamekuwa wakiongeza na kuongeza tu.

Kama sasa tarafa zinafanywa wilaya, kata zinafanywa tarafa, vijiji vinafanywa kata, n.k. Hivyo ni kuongeza tu idadi ya walaji wasiozalisha (Nyerere akiwaita wanyonyaji), na kuongeza ukamuaji na umaskinishaji wa wananchi huku utoaji wa huduma zinazotakiwa kutolewa na serikali ukiwa umezidi kuzorota na huduma nyingine kupotea kabisa kabisa. Kweli kupunguza gharama ndiyo njia ya maendeleo, lakini hapa kwetu tuko kwenye gear ya reverse (gia ya rivasi), tunataka kuelekea kwenye maendeleo kinyumanyuma.

Kwa njia hii, tumnukuu Makwaia, "Je, Tutafika?"

Tanzania haina vyombo vya usalama vinavyoweza kushughulika na adui ambaye silaha yake siyo bunduki. Kwa hiyo hakuna sababu yoyote zaidi ya kwamba Tanzania imezidiwa kete.
 
Back
Top Bottom