Nyie hata hamsumbui watu mzee We endelea kujipa moyo hvyohvyo na km ulikuwa makini jana ile njia yenu ya kutegemea mipira ya kona ishapatiwa jawabu jana mpk kufanya arterta kakosa plan b😂 …..ngoja mkutane na timu za midtable huko maana tushawafungulia code kudefend set pieces
wazee wa kubottle ligi bwana Mara oooh barca walikuwa 10 ndo mkawafunga haya sawa wanaume walikuwa 10 mbona mlishindwa kuwafunga , …nyie jamaa ngoja ifike mwezi wa 3 tutaanza kusikia kelele za arterta😂
Sasa kwani kumaliza nafasi ya 12 ndo nini mkuu au umesahau tulishawahi kumaliza nafasi ya 10 akajaga conte tukachukua kombe la epl msimu uliofuata hyo ndo maana halisi ya ambition
Kabla ya red card asilimia kubwa chelsea walikuwa wanacontrol mchezo ukijumlisha na yale magoli mawili yaliyokataliwa inaonyesha walikuwa wanashambuliwa jamaa ana husda sijui😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.