Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,069
- 108,739
Hatimaye imekua kweli. Arsenal ifahamikayo hatimaye imerudi!Hii mechi itakua ngumu kwetu... Backline sio genuine
Hatimaye imekua kweli. Arsenal ifahamikayo hatimaye imerudi!Hii mechi itakua ngumu kwetu... Backline sio genuine
Ni mwezi umekaa vibaya.December uwa haituachi salama
Martinez au raya mkuu😂😂😂😂Mechi rahisi, MARTINEZ anafungwa chuma mbili
Mwamba umesha changanyikiwa tayari kipa wako usimjue? 🤣🤣Mechi rahisi, MARTINEZ anafungwa chuma mbili
Amka ndotoniArsenal wameukaribia ubingwa huku Chelshit wameshagongwa 2.
Na bado mawazo yanaendeleAAston Villa wananipa mawazo sana, na hizi injuries kule nyuma, tunahitaji outstanding performance kutoka kwa Arsenal siku hiyo.
Na njaa labdaTunaenda villa park na tunashinda Amini hili..
Ndio maji yanaanza kuzidi ungaHii game tukipata ata suluhu TU inatosha, maana Unai waga ni kama vile bado ana bifu na Arsenal, huwa anachukulia very personal
Wakati sisi tunaomba suluhu na City nae apate suluhu kwenye game yake na Sunderland lasivyo maji yatazidi Unga
Aseno na united hatuchekani miaka nenda rudi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uchukue ubingwa forwad Merino magoli ya kona kiungo zubimende
Hivi nyie mna akili kweli??????
Bado hujasema😃😃😃So painful
Ratiba nyepesi sana kwa artetaNi mwezi umekaa vibaya.
10th December ni CL na Club Brugge (Away)
13th December VS Wolves (Emirates)
20th December Vs Everton (Away)
27th December VS Brighton (Emirates)
30th December Vs Aston Villa (Emirates) mzunguko wa pili waanza.
Pia kuna mechi na Cystal Palace ya robo fainali ya Cup.
Hivyo December ni mwezi mgumu kwahiyo resilience is the key.