Recent content by Joeseoc

  1. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sana kwa kweli
  2. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyesababisha Dr. Aucho kusajiliwa na Simba

    Dirisha la usajili limefunguliwa?
  3. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

    Nimesikiliza Kipindi cha Power Breakfast Asubuhi ya Leo Clouds Fm, Madereva wa Uber na Bolt Wanalia Kamisheni Kushushwa Toka Kulipwa Tshs 950 kwa Kilometer hadi Tshs 450 kwa Kilometer . Mdau Anasema kwa Siku Kama Una-drive Uber au Bolt kwa Upande wa Gari, Mafuta Ukiweka Tshs 35.000 Kama Litres...
  4. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

    Jinsi unavyo elezea upambane uongezee ifike Million 7 au Million 8 ya kupata IST, ni bora uendeleze hayo mapambano hukohuko maana inaonekana ndo kuna hela, huku kwenye Uber na Bolt utapambana sana kuliko huko mkuu, ni ushauri tu
  5. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

    Mleta uzi nipe link nidownload Avatar :)
  6. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Viatu vikali

    Huwezi kuwa una attach na bei maana naamini ni biashara hii au ni kuonyesha tu?
  7. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Jay Melody afanya kituko

    Umemaliza kila kitu, itoshe kusema hivyo.
  8. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Ikulu, imekaaje viongozi kuchomwa chanjo ya Corona bila wauguzi kuvaa gloves?

    Picha ya pili yule kule nyuma anapiga piga tu makofi [emoji2957]
  9. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Ni movie gani ambayo ulishawahi kuiangalia halafu baadaye ukajuta kwanini umeiangalia?

    Nikisoma baadhi ya comments kwenye moviebase nazidi kuogopa kuiangalia hiyo movie hakuna comment inayo reccomend kuiangalia hata moja aisee A Serbian Film
  10. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Transcend external hard disk inauzwa

    Azitolee wapi? [emoji52]
  11. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Baada ya kudhalilishwa Gaza, Israel sasa yaitishia vita Lebanon

    Dah! . . Eti Waziri wa Vita [emoji1] hiyo Wizara imebidi nicheke kwanza
  12. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Yani Atlético Madrid inataka kupoteza ubingwa hivihivi

    Daah [emoji1]
  13. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kumjua mtafsiri wa filamu ya Yesu

    Salaam JF, Katika kukua kwangu, tangu nikiwa mtoto mpaka sasa mtu mzima nimeitazama mara nyingi filamu ya Yesu "Passion of Jesus" Lakini aliyefasiri maneno katika filamu ile kwa lugha ya Kiswahili natamani sana nimjue, hasa yule aliye nukuu maneno kama Yesu mwenyewe. Kila nikiitazamaga...
  14. Joeseoc

    JamiiForums Tanzania Utakiona cha mtema kuni!, Kama ni hadithi , ilikuwa kwenye kitabu gani? Mtunzi alikuwa nani...na mengineyo....

    Mtema Kuni, Huyu Mtema Kuni ni nani hasa? Na alifanya kitu gani hadi leo hii tutishiwe kukiona?
Back
Top Bottom