Dakika 45 ITV: Jobu Ndugai apasua siri jinsi nchi inavyofilisiwa na serikali iliyoko madarakani

haya ndiyo madudu ya wabunge wetu tuliowachagua, ipo siku kama unaingia bungeni ni lazima tujue utajir wako maana wengi wameupata kwa uroho wa kujilimbikizia mali, hawa hawa ndio baadaye madeni yanawakaba sana kutokana na matumizi mabaya ya fedha za umma, uriho huu huu ndio unawafanya wajithamini sana.
 
Kiukwel wanaofaidi nchi hii wanasiasa (wabunge,.mawaziri,.makatibu wakuu,.majaji na wengineo)
 
Back
Top Bottom