Ni nani aliyesababisha Dr. Aucho kusajiliwa na Simba

busha

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,712
2,575
Wakuu kama nitakuwa nimemfananisha basi mtanisamehe

Nimemuona Dr. Aucho akiwa na kiongozi mmoja wa Wekundu wa Msimbazi.

Naamini lazima kuna mtu wa ndani wa Yanga anahusika, je ni nani anaihujuma Yanga?
 
Acha uzushi, kama sio uzushi leta picha
Picha sio kigezo,kumbuka Rage alipiga picha na Mbuyu twite akimsainisha mkataba lakini akaenda Yanga,kumbuka Morison alipigwa picha akiwa na mkataba wa Yanga lakini umafia ukafanyika kimya kimya Simba wakambeba na sasa Aucho Simba wanataka kumnyakua kama alivyonyakuliwa bwana Yesu kwenda mawinguni.
 
Wakuu kama nitakuwa nimemfananisha basi mtanisamehe

Nimemuona Dr. Aucho akiwa na kiongozi mmoja wa Wekundu wa Msimbazi.

Naamini lazima kuna mtu wa ndani wa Yanga anahusika, je ni nani anaihujuma Yanga?
20211124_142300.jpg
 
Kwahyo picha ndo mkataba wa usajili?
 
Wakuu kama nitakuwa nimemfananisha basi mtanisamehe

Nimemuona Dr. Aucho akiwa na kiongozi mmoja wa Wekundu wa Msimbazi.

Naamini lazima kuna mtu wa ndani wa Yanga anahusika, je ni nani anaihujuma Yanga?
Hayo mambo yote ya kitapeli na Ujanja Ujanja alikuwa anayafanya Marehemu Hanspope hapo Simba SC hakuna mtu mwingine mwenye uwezo kama yeye

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom