Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,890
Mwambieni mama yenu mheshimiwa Rais kuwa lita moja ya mafuta ya kupikia ya Alizeti imefika elfu 10

Mwambieni nyama kilo ni hadi elfu 10 kwa sasa

Imagine mafuta ya alizeti lita imefika elfu 10 haya mafuta mengine ya mgando sijui makorie ndo lita 6000

Na hayo makorie wengine huwa hatugusi kabisa tuna allergy kali sana tukila tu tukilala tunaamka tukiwa hoi mijipu mwili nzima kama mtu ana tetekuwanga hadi wife nimemkataza asinunue hayo makorie maana navimbaga balaa

Nyama ndo haigusiki sasa sijui ambao hawatomudu nyama inakuaje au mwenye mzazi alojifungua anayehitaji nyama kila siku inakuaje

Kweli huu mfumuko ni balaa mafuta lita elfu 10 shikamoo Samia Suluhu Hassan unaupiga mwingi haswa tatizo letu wabongo ni wasahaulifu hadi 2025 watakua washasahau haya madhira na watakupa kura tena hii nchi ngumu doh
 
😁😁😁
1631782898_1631782897-picsay.jpg
 
Mwambieni mama yenu mheshimiwa rais kuwa lita moja ya mafuta ya kupikia ya Alizeti imefika elfu 10

Mwambieni nyama kilo ni hadi elfu 10 kwa sasa

Imagine mafuta ya alizeti lita imefika elfu 10 haya mafuta mengine ya mgando sijui makorie ndo lita 6000

Na hayo makorie wengine huwa hatugusi kabisa tuna allergy kali sana tukila tu tukilala tunaamka tukiwa hoi mijipu mwili nzima kama mtu ana tetekuwanga hadi wife nimemkataza asinunue hayo makorie maana navimbaga balaa

Nyama ndo haigusiki sasa sijui ambao hawatomudu nyama inakuaje au mwenye mzazi alojifungua anayehitaji nyama kila siku inakuaje

Kweli huu mfumuko ni balaa mafuta lita elfu 10 shikamoo Samia suluhu Hassan unaupiga mwingi haswa tatizo letu wabongo ni wasahaulifu hadi 2025 watakua washasahau haya madhila na watakupa kura tena hii nchi ngumu doh
Mwanaume unalua njaa, njoo kwa Mungu.
 
Anaupiga mwingi kwani yeye anashida gani wala hajui bei ya mafuta wala msosi, Hangaya hoyeeeeeeeeeeee, anademka tu na 2025 wakati hata hajui kama anatoboa ama hatoboi
 
We ni muongo Lita ya alizeti ni elfu 5 km unabisha njoo Pm uje na hela yako nikuletee mafuta acheni KUANDIKA habari za kusimuliwa
Wapi huko 5000acheni matusi yaan hakuna sehemu mafuta ya alizeti wanauza hiyo bei wacha uwongo yaani km ni kweli na ndo yenyewe halisi basi nitaorder lita 10
 
Mwambieni mama yenu mheshimiwa rais kuwa lita moja ya mafuta ya kupikia ya Alizeti imefika elfu 10

Mwambieni nyama kilo ni hadi elfu 10 kwa sasa

Imagine mafuta ya alizeti lita imefika elfu 10 haya mafuta mengine ya mgando sijui makorie ndo lita 6000

Na hayo makorie wengine huwa hatugusi kabisa tuna allergy kali sana tukila tu tukilala tunaamka tukiwa hoi mijipu mwili nzima kama mtu ana tetekuwanga hadi wife nimemkataza asinunue hayo makorie maana navimbaga balaa

Nyama ndo haigusiki sasa sijui ambao hawatomudu nyama inakuaje au mwenye mzazi alojifungua anayehitaji nyama kila siku inakuaje

Kweli huu mfumuko ni balaa mafuta lita elfu 10 shikamoo Samia suluhu Hassan unaupiga mwingi haswa tatizo letu wabongo ni wasahaulifu hadi 2025 watakua washasahau haya madhila na watakupa kura tena hii nchi ngumu doh
JAMBO LA AJABU KULIKO YOTE NI KWAMBA NILIJARIBU KUNUNUA MAFUTA KENYA CHA AJABU NDOO MOJA IMEFIKIA 87500/- BAADA YA KUIBADILISHA FEDHA YAO NA KUWA YA KITANZANIA,SASA TATIZO SIJUI LIPO WAPI ?MAANA YAMEPANDA EAST AFRICA YOTE.
*BEI YA NYAMA NI 6500-7000 SASA WEWE SIJUI IPO COMORO AU WAPI MAANA COMORO BEI NI 10000-15000
 
Saa hivi tunashughulika na mipasho na vijembe kuelekea 2025, mafuta yasubiri kidogo.....
 
Back
Top Bottom