Recent content by Joealexist

  1. J

    JamiiForums Tanzania Darasa kwa Wasaka Pesa Wenye Ndoto kubwa

    Wajanja wamewahi..
  2. J

    JamiiForums Tanzania Darasa kwa Wasaka Pesa Wenye Ndoto kubwa

    Utafiti uliyofanywa kuhusu "New Year Resolutions" (Malengo ya mwaka) unaonyesha asilimia kubwa (karibu 88%)ya watu wanao weka malengo ya mwaka hawatimizi malengo yao, only 12% ya watu wanao weka malengo ya mwaka ndiyo wanafanikiwa kuyatimiza. " Siyo matokeo ya kufurahisha". Lakini ukijaribu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka PM Maximize Life kwa Wenye ndoto za Mafanikio.

    Hii ni Taasisi inayojishughulisha na uelimishaji, kuelekeza na kutoahamasa za kimafanikio katika maeneo mbali mbali ya kimaendeleo. Naamini uko tayari kuukabili mwaka mpya wa 2016, naamini mambo ambayo tulijifunza na tutakayojifunza yatatusaidia kuwa na na mwaka ulio bora zaidi, na wenye...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya 10, zinazofanya ushindwe kuwa na akiba

    Ndani ya posti hii nimejifunza mambo mengi ya muhimu ambayo yatanisaidia sana katika kuifikia ndoto yangu ya kuwa mjasiriamalimkubwa. Inaelezea tabia ambazo wengi wetu tunazo, na hizo tabia ndizo zinazopelekea kuamua sisi ni aina gani ya ya watu. Kumbuka, "Daraja kati ya mtu na malengo/Ndoto ni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ufanye mwaka 2016, mwaka wako

    "Problems cannot be solved with the same mind set that created them" -Albert Einstein Wakati tunajiaandaa kumaliza mwaka, na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, changamoto zetu za maisha ni moja kati ya mizigo tunayo ibeba kuelekea nayo kwenye mwisho wa mwaka, swala muhimu la kufahamu hapa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali hua unaanza kama ifuatavyo (Kitabu)

    Asee unajua sana. Kuumbeee!!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali hua unaanza kama ifuatavyo (Kitabu)

    Jipatie kitabu hiki, upate majibu muhimu ambayo kila mjasiriamali, alitakiwa kuyatafutia majibu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe kutangaza ajira alizoshinikiza TPA

    Mbaya sana huyu jamaa.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Soma hii halafu fanya maamuzi sahihi

    Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako (yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa kuupangia matumizi ya huo ujuzi wako. Ndio maana licha ya kwamba elimu ni yako wewe, maarifa ni yako wewe, vyeti ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Unataka kuwa mwekezaji mwenye mafanikio?

    Chukua hatua, jipatie DvD hii kwa.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipya kuhusu kufanya biashara yoyote kwa mujibu wa sheria za nchi.

    Pata kitabu kitakachokupa maarifa yoote unayohitaji kama mjasiriamali katika ulimwengu wa sasa hapa Tanzania. Jifunze njia mbalimbali na aina tofauti za biashara ambazo unaweza kufungua. KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI. Unaweza kukipata kwa kunitafuta kwenye namba hizo hapo, au kwa ku-comment...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Pata kitabu kipya cha kijasiriamali, Ujiajiri

    Pata kitabu kitakachokupa maarifa yoote unayohitaji kama mjasiriamali katika ulimwengu wa sasa hapa Tanzania. Jifunze njia mbalimbali na aina tofauti za biashara ambazo unaweza kufungua. KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI. Unaweza kukipata kwa kunitafuta kwenye namba hizo hapo, au kwa ku-comment...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Pata kitabu bora zaidi cha kijasiriamali cha kiswahili

    Ni kitabu kilichojaa maarifa yote yatakayokwezesha kuwa mjasiriamali. Piga 0717039133 ,kwa maelezo zaidi.
Back
Top Bottom