Joealexist
Member
- Jun 1, 2012
- 21
- 10
Utafiti uliyofanywa kuhusu "New Year Resolutions" (Malengo ya mwaka) unaonyesha asilimia kubwa (karibu 88%)ya watu wanao weka malengo ya mwaka hawatimizi malengo yao, only 12% ya watu wanao weka malengo ya mwaka ndiyo wanafanikiwa kuyatimiza.
" Siyo matokeo ya kufurahisha".
Lakini ukijaribu kutafakari kwa kina, utagundua jambo moja, wale 12% mbali ya kuweka malengo lakini wana kitu cha ziada wanakifanya ambacho wale majority 88% hawafanyi, wanachukua hatua zaidi kuliko wale 88%, kwenye mwezi huu wa January ni vizuri tuka ya tafakari mambo machache yanayo sababisha hawa 12% watimize malengo yao.
i) The 12% Condition their mind daily.
Hawa 12% wanajua umuhimu wa their minds kama engine ya kuwawezesha kutimiza malengo yao, kila siku watachukua hatua ya kufanya kitu kitakacho 'reprogram their minds' they will do something to develop their minds, iwe ni kusoma kitabu, ku subscribe for mind training, kusikiliza Educational DVDs, reading inspirational materials, kuhudhuria seminars n.k kikubwa hapa hawa 12% watafanya kitu cha ziada kitakacho boresha minds zao kwa kadili siku zinavyokwenda.
ii) The 12% wataji commit zaidi kupata matokeo, na siyo just wishing.
Yaani wanaamua kutoka ndani, na wako tayari kulipa gharama, ya kusababisha malengo yao kutimia, watafanya one, two or more steps ahead kuliko wale 88%, wakati wale 88% wataendelea na mfumo wao wa maisha wa kawaida" business as usual" wale 12% kwasababu wamedhamilia kutoka ndani, watafanya kitu cha kitofauti zaidi ambacho ndicho kitawapa matokeo tofauti.
iii) The 12% mara nyingi wanajibusisha na mahusiano ambayo yanakuwa kichocheo kikubwa cha wao kutimiza malengo yao.
Mahusiano kama mentors, watu ambao wanawaongoza na kuwaelekeza nini cha kufanya, lakini pia mentors hawa wanakuwa kama the point of accountability kwao.
Mahusiano kama master mind group, wanakuwa wamezungukwa na watu, kwa namna moja au nyingine, wenye the like mind, ambao watashikana mkono na kupeana moyo kuhimili vikwazo vyote.
Ndiyo maana sisi Paul Masatu Maximize Life mwaka huu tumeamua uwe ni watofauti, tunataka kuwa kwenye 12% group, tumedhamiria kutoka ndani, tunataka kufanya tofauti, tunataka kuchukua one, two and more steps ahead, we want to see results this year, na kwahiyo tunaacha kufanya business as usual.
Kama unataka kujiunga na sisi na kutaka kuwa kwenye group la 12%, a master mind group tuma ujumbe wako wa kuonyesha interest ya kujiunga kwenye whatsap namba 0717 039 133 Joseph, na utapewa utaratibu.
Kila la kheri katika kutimiza malengo yenu mwaka huu.
Paul Masatu