Joealexist
Member
- Jun 1, 2012
- 21
- 10
Hii ni Taasisi inayojishughulisha na uelimishaji, kuelekeza na kutoahamasa za kimafanikio katika maeneo mbali mbali ya kimaendeleo.
Naamini uko tayari kuukabili mwaka mpya wa 2016, naamini mambo ambayo tulijifunza na tutakayojifunza yatatusaidia kuwa na na mwaka ulio bora zaidi, na wenye mafanikio kwenye maeneo yote ya maisha yetu.
Paul Masatu Maximize Life Kama ilivyo ada yake inaamini katika matokeo bora zaidi kwa mwaka huu wa 2016 kuliko ilivyokuwa mwaka uliopita, lakini kama ilivyo kanuni ya maisha, hauwezi kupata utofauti katika maisha kama hautabadili namna unavyo fanya, kama kweli unataka mabadiliko mwaka huu, ni lazima jinsi yako ya kufanya mambo ibadilike pia, hauwezi kuwa unafanya vile vile halafu ukategemea matokeo tofauti.
Sasa kwa kutambua hilo, sisi kama watu tunao amini kwenye mabadiliko, tunaamua pia kubadilisha gia mwaka huu, namna yetu ya kufundisha itabadilika, aina ya masomo pia itabadilika.
Karibu kwenye mtirirko huu wa masomo ambayo yataweka msingi mzuri wa mafanikio ya kudumu katika maisha yako, na kuanzia hapo mambo yote yatabadilika kabisa na kuwa mazuri zaidi na zaidi.
Kwa ujumla kwa sasa tunaondoka katika kujifunza kwa namna ya ku-socialize tunaelekea kwenye kua more seriously, kwa sababu tunataka kupata a seriously results.
Kama kweli unataka kuwa sehemu ya team unayotaka kuona matokeo, wasiliana kwa kutuma jina lako kupitia whatsapp namba +255 717 039 133 jina Joseph na maombi yako yatafanyiwa kazi. Na utapewa ufafanuzi na Utaratibu wote.
Nawatakia mwaka mpya wenye mafanikio mema.
Paul Masatu.