Ufanye mwaka 2016, mwaka wako

Joealexist

Member
Jun 1, 2012
21
10
"Problems cannot be solved with the same mind set that created them"
-Albert Einstein


Wakati tunajiaandaa kumaliza mwaka, na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, changamoto zetu za maisha ni moja kati ya mizigo tunayo ibeba kuelekea nayo kwenye mwisho wa mwaka, swala muhimu la kufahamu hapa, hizi changamoto zinaendana na our level of thinking, kama anavyo sema Albert Einstein, your thinking level, your mind set, inahusika kwa kiasi kikubwa sana na uwepo wa hizo changamoto ulizo nazo.


Kama kweli unataka mwaka 2016 uwe mpya kwako, ufurahie maisha mapya yenye utofaufi mkubwa, na uwezo mubwa wa kuzikabili changamoto zako, ni muhimu ku develop new level of thinking, new mind set, ambayo ni tofauti na mind set uliyo nayo sasa.


Mind set, level of thinking inayo ona mbali kuliko unavyo ona sasa hivi, yenye capacity kubwa ya kufikiri kuliko capacity uliyo nayo sasa, yenye uwezo mkubwa kuliko ukubwa wa tatizo ulilo nalo sasa.


Anza sasa mchakato wa ku- develop new mind set, ili kweli ufurahie mwaka mpya na mambo mapya, na siyo kubadilisha tarehe na namba tu, huku maisha yako yakibaki kama yalivyo, na changamoto zile zile za mwaka uliyopita.


~Paul Masatu
~Paul Masatu
 

Attachments

  • DSC_0118 copy.jpg
    DSC_0118 copy.jpg
    344.6 KB · Views: 242
Back
Top Bottom