nasema nanyi walimu,mnaoniangalia
matendo yenu ya sumu,mi' nimeshayasikia
bado hamjanipata?nimetumia tungo tata?
kweli kupanda mchongoma,na kushuka ndio ngoima
ninapatwa na uchungu,nikiwacheki walimu
napata kizunguzungu,matendo yenu ya sumu
twapigania haki zenu,mnazima ndoto zetu
tunatetea...