namkubali sanaa, huyu nani, anaitwaaaaaaa anaitwaje tena? Si umeshamtaja eti huyo nani na mkali mbaya
Mi namfyagiriaga Mzee Jangala
mi namkubali barnaba tu na kitu chake cha usilete zarau
umeona jamaa ni soodogo anajua kuliko wote wanaoimba imba unaambiwa!..............yaani ile 'MILELE DAIMA' kaniimbia mimi kabisa.being a bad boy sio ishu sometymes ujue...nishaamua kuwa kijana mwema na mwenza anachekelea ila haikuwa rahisi,so barnaba alinipatia kabisa na ile songi aisee!
I think you are right.Nyimbo zilikuwa zamani hazichuji mpka leo(jojina,neema,maria n.k)wauza sura tu, wote hao. Muziki Tanzania uliisha rasmi 1989
mkuu audio yake naweza nikapata kweli sasa hivi,huyo jamaa nilimkubali sanafreddy Saganda......mkali aliyeimba bongo flava kwa lafudhi ya kichaga miaka hiyo!vilevile ni actor na mchoraji!mama mary alikuwepo.urasa alikuwepo na yule mtoto wa pale naye alikuwepoahhahahhhaa!!jamaa yupo talented