Chonde chonde JF....!

jacjaz

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
440
205
Amani iwe nanyi nyoote!

Jamani,hivi ni kwanini JF mko hivi!? leo mtu analeta mada yake,wengine wanaanza kuponda kuwa ni utoto au ufinyu wa mawazo. Kesho,huyo huyo mtu aliyeponda na kukandia mada ya mwenzake analeta yake ya kijinga zaidi,mfano mtu anadai anamatatizo na haucgeli wake au mchumba wake! swali linakuja,hivi hatujui kuwa kuna utofauti wa kimawazo,kifikra na kiakili kati yetu sisi wanadamu!? yani,lililokubwa kwako si lazma mwengine alione kubwa and viceversa! km kuwa great thinker ni hivi,nadhani hii maana itolewe ufafanuzi zaidi.

tafadhali tutambue tofauti zetu na tuheshimu mawazo na shida za mtu mwingine hata kama ni za darasa la 2 kwa wengine! nawasilisha....
 
Amani iwe nanyi nyoote!

Jamani,hivi ni kwanini JF mko hivi!? leo mtu analeta mada yake,wengine wanaanza kuponda kuwa ni utoto au ufinyu wa mawazo
. Kesho,huyo huyo mtu aliyeponda na
kukandia mada ya mwenzake analeta yake ya
kijinga zaidi,mfano mtu anadai anamatatizo
na haucgeli wake au mchumba wake! swali
linakuja,hivi hatujui kuwa kuna utofauti wa
kimawazo,kifikra na kiakili kati yetu sisi
wanadamu!? yani,lililokubwa kwako si lazma
mwengine alione kubwa and viceversa! km
kuwa great thinker ni hivi,nadhani hii maana
itolewe ufafanuzi zaidi.



tafadhali tutambue tofauti zetu na tuheshimu mawazo na shida za mtu mwingine hata kama ni za darasa la 2 kwa wengine! nawasilisha....

Uko sahihi mimi hua naamini mtu hata kama hajui kusoma na kuandika kuna jambo analifahamu ambalo sio mimi tu hata prof kutoka havard halijui.
 
kwani wewe ni he or she? maana unalalamika balaa hadi unasahau jukwaa la malalamiko..
 
Inategemea interaction yako na other memberz, na hiyo mada yako uliileta kwa staili gani. Pole lakini kwa yaliyokusibu
 
Umenena mkuu, kuna hii nayo inakera saaaana! Ya kufanya thread ya mtu ni sehemu ya kuchat au kudiscus mambo yao badala ya kuchangia mada husika.
 
Sijajua tathmini yako kamili. But think......kuna watu wanaanzisha topic yaani kuanzia heading mpaka contents ni madharau na udhalilishaji mwanzo mwisho, iwe kwa majina au maneno yoyote mradi tu aandike anavojisikia! Sasa huyu nae achekewe??? Well utasema aelimishwe/asahihishwe, hivi ni mara ngapi watu wamekuwa wakizungumzia/kuonesha kutofurahishwa na hizo lugha zisizostahili?? But wonderful enough, some people hawaoni shida kuzitumia, sasa hawa nao wakiambulia madongo watalalamika?? Mambo mengine anayasababisha mtoa maada na si kulaumu wachangiaji tu, though kuna wale wanaoponda kwa sababu zao binafsi ama kwa kutokuelewa maada (BAD)!!! Finally, hayo yote yanawezekana endapo tu kutakuwa na ustaarabu pia nidhamu kuanzia kwa mtoa maada hata anaporeply/kumquote commentator hatimae hadi yule alokua anaponda pasipo sababu ataziua mwenyewe tuu!!
 
mleta mada,embu nambie,mtu anafungua uzi jf anaomba ushauri afanyaje maana kuna mke wa rafiki yake anataka amlale,unamjibuje huyu mtu? Au kamtamani hausgel anakuja jf kuomba ushauri,tumshauri nini sasa? Misiba mingine ni ya kujitafutia bana!
 
kuponda ni sehemu muhimu ya ushauri na uchangiaji...kama binadamu unahitaji mawazo mbadala...

huwezi kupata ushauri unaotaka siku zote!
pia ni lazima mtu uwezo wa kutetea unachoandika.
 
mleta mada,embu nambie,mtu anafungua uzi jf anaomba ushauri afanyaje maana kuna mke wa rafiki yake anataka amlale,unamjibuje huyu mtu? Au kamtamani hausgel anakuja jf kuomba ushauri,tumshauri nini sasa? Misiba mingine ni ya kujitafutia bana!

Ndo hapo sasa!! Au mtu mwingine anaandika issues kibao ambazo hata hazihusiani, akikosolewa unamuona anakuja juu yaani hataki kukubali kuwa alichoandika ndicho alichojibiwa!!
 
wape haoooooo....wala ucwakopeshe!wakimeza wakiteama hiyo ni shauri yaoooo...wanaboa,wanataka wote tufanane ama?...kama ni hivyo watengeneze websyt yao wenye mawazo sawa...
 
Km ndio hivyo basi,hata huyo mpondaji aangalie na mtoa mada kaileta kwa staili gani coz mwingine unaona kbs kwake hiyo mada ni muhimu saaaana wkt kwako wewe sio! na ndio hapo mtu anabishia wakati mwingine bila vina! sikatai kuponda bt smtyms iwe kiaina tu mazee!
 
kuna tofauti gani na anayeleta uzi kuwa mkewe kamfumania na mke anataka kuondoka!? au yule anayeleta mada kuwa bosi wake ofisini anamtaka kimapenzi? nadhani jukwaa lipo kuzungumzia mambo ya jamii na mahusiano katika maisha yetu ya kila siku na vitu km hivyo vipo na vitaendelea kuwepo!
 
Inategemea interaction yako na other memberz, na hiyo mada yako uliileta kwa staili gani. Pole lakini kwa yaliyokusibu

Si mimi yaliyonisibu bt nimeona humu humu ndani yakiwasibu wengine nami nikaona niwasilishe kiaina!
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom