Picha za MNYIKA akitolewa nje ya Viwanja vya Bunge

JJ wll be back to the hotseat tomorrow morning, and M4C will leave no gamba unskinned.

Mwigulu, Ngugai and whole of silly ccm should get this message loud, clear and now; that we (wananchi of URT) hereby, both individually and collectivelly; as armed with all God-providences, for the ordinaed inborn responsibilty shall uphold the to struggle, and if need be shall decisively engage to fight the present dark regime and/or any form of injustice and lies so emboded by it.

We shall stop nowhere else untill we have crossed that shining line which is lying ahead of this noble stuggle, only there and when we have completely secured and safeguarded the prosperous future of this nation, by removing the current tyrants who knows all about looting, lies and killing. When, not if, we put an end of all these merciless mercenaries in their righful place, therein plucked and uproot their system coined and sustained by the very echelon who attired in sheep-skin but have systematic ravenous the wealth of Tanzania.


In unwavering commitment and unselfihy soul, in this worthy appointment we will surely not relent nor excuse the cause.
This is the time and the place because its just, true and affectionate patriotism in pure love and honesty for all Tanzanians; regardless of their age, color, belief, originality, tongue or any form of discrimination.
 
Chadema mna akili lakini mnashindwa ku2mia akili na nidham katika kusolve mambo na matokeo yake ndo kama haya mwalopoka ovyo.Hii iwe fundisho kwa wengine.
Mweshimuni rais wa nchi na tumieni busara ktk kumkosoa.

Hili la Mnyika linanikumbusha wakati Nelson Mandela alipohukumiwa na mahakama ya makaburu, angeendekeza msimamo Kama wako sidhani Leo tungekuwa na utawala wa wenngi ktk africa kusini. Tunawataka Wabunge waendekeze unafiki mpaka Rais apigwe mawe mtaani? Mbona Alichosema Mnyika ni common knowledge mitaani?
 
Safi sana Mnyika, sio siri JK ni legelege, in every aspect....
 
polisi wa bungeni huvaa hii kitu ya mhimbil sijui kwann???
Tumeiga upuuzi wa Uingereza! Sasa kule anavaa zaidi Malkia, hawa Polisi wa Bunge la Tanzania sijui wanavaa za nini? Tunaiga mpaka upuuzi! Hovyooo! Hivi kipindi cha Baba wa Taifa walikuwa wanavaa hivi kweli?
 
Bunge la Tanzania tutake tusitake linaundwa upya!! Liko katika mchakato wa kushonewa suti mpya ya Bunge lenye kuwasemea wananchi. Bunge linataka kupata sauti yake na kutekeleza maamuzi yake. Bunge halitaki tena kupigiwa simu kutoka Ikulu na kuelekezwa cha kufanya.

Bunge linazaliwa upya Tanzania!
Mbunge hahitaji kujua njia ya kuelekea Ikulu.
hahitaji tena kuwekewa maneno mdomoni kama bubu. Mbunge anataka aongee, tena kwa kufuata akili yake.
Mbunge halisi hakitaji kukaa kikao jana yake ili akachangie jambo Bungeni au kupitisha bajeti.
Bunge halihitaji tena chai wala kahawa, linahitaji maneno ya kweli yenye kupenyeza mifupani baada ya kuupasua moyo usiokuwa na maadali.

Bunge sasa linavaa nguo!
Lilikuwa na aibu ya kutoka hadharani lionekane, sasa linataka kutoka.
Maana mwali karibu atakamilika, kijana mtanashati yuko wapi? Mbona hapigi suti yake pasi haraka na ikanyooka?
Bunge la kuvunja meza bunge gani hilo, kwanini basi lisivunje viti na miguu yake? Ah hapana wavunje maiki kwa kuijaza ukweli . Wacha ipindike tutawazawadia nyingine! Tena nyingi.

Aaaa nilikuwa nangoja sana Bunge la kweli sasa naona kama nataka kupewa zawadi yangu. Zawadi hii inawafaa wazalendo tuu basi! Wengine hampati kitu. Ila mtaambulia madawati yaliyopindika na kuchimbika pale kwenye kisahani cha juu. Maana kupiga piga pale hata kitoto changu cha mwaka mmoja na nusu huwa kinanipigia pigia meza hivyo hivyo wakati tuko mezani, wakati mwingine humtania mama watoto kwa kuuliza umenizalia mbunge wa CCM nini?
 
rais asiyejua kwa nini nchi yake ni
maskini wakat ina raslimaki kibao
huo sio udhaifu??4leni za magari
jijin dsm rais anasema eti hayo ni
maisha bora! Huo sio udhaifu??
Kumteua mgonjwa mahututi kuwa
wa wazir asiyekuwa na wizara
maalumu isiyo na ofc! Huo sio
udhaifu?? Brother mnyika we si wa
kwanza kusema kikwete ni
dhaifu.hata nyerere alishawah
kusema 95 kwamba 'hatumchagui
m2 awe rais kwa sura yake.kwa
sababu haendi kuwa rais wa mamiss
2nataka rais mchapa kazi na
muadilifu'
Wanafunzi wakike kupata mimba ni kimbelembele chao. Na huu ni moja kati ya madhaifu ya Rais wa CCM !!
 
Hapana Hapana Myika usiseme Kikwete ni dhaifu. Tumia maneno ya Lowasa useme ni mwoga, mwoga mkubwa anaogopa kufanya maamuzi, maamuzi yatakaypwasumbua maswahiba wake yaani maamuzi magumu!
 
Kama una bifu na JK, jaribu kulinganisha notes na Godbless Lema.
, dont go to waste!

Mkuu kama kuwa mkweli kwa nafsi yako na kwa wananchi wasiokuwa na sauti ni bifu mi nadhani so be it..hata hivyo haitakaa wote tuwe wasemaji au mabubu watatokea akina Mnyika na kinyume chake...!
 
Mbona kila mtu anajua aliyepo tz na hata wasio watz kuwa mshikaji wa magogoni ni dhaifu sana kiutendaji wake hata naibu microphone naye anajua sema basi tu kujikosha kwa mhe.
 
Hivi Hawa amekata rufaa ya hukumu ilitolewa kwenye kesi ya kupinga ubunge wa Mnyika, right? As much as I agree with his statement, tusije tukampoteza kamanda mwingine bungeni kama yaliyomkuta Lema.
 
Kwa hiyo nia kumbe ni kutafuta umaarufu wa kisiasa, na si kuwatetea wananchi, Asante kwa kutuelewesha hivyo mkuu[/QUO

Ni kweli Mnyika binafsi tukio hili litamjenga kisiasa, ila kwa mapana zaidi ni kuwa litawachokonoa wananchi kujadili kauli yake na kwa njia hiyo kujiamshia hasira ya kujitosa kujikomboa wenyewe kupitia sanduku la kura kwani tayari watakuwa wanajua fika nani mchawi wao anayewakwamisha na kuwadumaza!!! Chungeni sana hasira ya wanachi waliopigika kimaisha!!
 
Kwa hiyo nia kumbe ni kutafuta umaarufu wa kisiasa, na si kuwatetea wananchi, Asante kwa kutuelewesha hivyo mkuu[/QUO

Ni kweli Mnyika binafsi tukio hili litamjenga kisiasa, ila kwa mapana zaidi ni kuwa litawachokonoa wananchi kujadili kauli yake na kwa njia hiyo kujiamshia hasira ya kujitosa kujikomboa wenyewe kupitia sanduku la kura kwani tayari watakuwa wanajua fika nani mchawi wao anayewakwamisha na kuwadumaza!!! Chungeni sana hasira ya wanachi waliopigika kimaisha!!

Naomba kutofautiana nawe katika hoja hii kama ifuatavyo:
Wabunge wanaeleweka kama ni professional katika uwanja wao. Tofauti na wengi ambao tunapongeza hatua ambayo Mnyika amefanya kwani haijaonyesha kitaaluma na kitaalamu hoja pamoja na kuwa na uzito kutoiwasilisha kama professional member.

Mnyika ni msomi na anajua fika namna ya kujenga hoja na kuchagua lugha ya kufkisha ujumbe, lakini kwa namna na hisia aliyokuwa nayo amepitiliza kiwango ambacho angetazamiwa kufanya. Ukisema unaenda kujisaida (restroom) na mwenzako akasema anaenda kunya au kukojoa (samahani kwa lugha hiyo) nadhani maana ni moja lakini inatoa taswira tofauti kwa atakayawasikia. Wote mnaenda kufanya kitu kilekile lakini matumizi ya lugha yamenya mtofautiane kimtazamo na kistaarabu kutokana na uwezo wa kufikiri haraka na kuchagua lugha ya kutumia.

Pamoja na kwamba walio upande wa Mnyika wamejiridhisha kwamba Mnyika kasema ukweli, lakini kwa wenye busara na hekima watakuambia Mnyika ameteleza katika kufikisha hoja yake kwa kukosa ubunifu wa kuchagua lugha sahihi ya kutumia katika bunge tukufu na kwa namna ye yote amekiuka taratibu za matumizi ya lugha inayotakiwa kutumika bungeni.

Mimi si mtu wa kufuata upepo sababu ya kile moyo ukipenda, ula ukweli uendane na ustaarabu, elimu na busara katika maisha, mahusiano na shughuli za kila siku. Kama ni shauri ya kuropoka tu kila mtu afanye hivyo nadhani tusingekuwa hapa tulipo.

Tunapaswa kuwajenga hawa watu na kujitahidi kuwakosoa wanapoteleza, isiwe kila wafanyavyo hata kikikosa hekima na busara ni kusahbikia tu kama timu ya nyumani hata kama mtu kafunga goli mpira wa miguu kwa mkono, hii imekaaje?
 
Wa Tz tuache unafiki hakuna asiejua Jk ni dhaifu. Mifano ni mingi tu, 1.kashindwa kuvua magamba 2.alishidwa kumuwajibisha jairo 3. Mawaziri wezi alisema ni upepo tu utapita 4.maisha bora kwa kila MTZ sasa ni ndoto , Mnyika amesema kweli wanafiki wameona ni matusi .
 
Back
Top Bottom