Recent content by Jmpambije

  1. J

    JamiiForums Tanzania Live from Dodoma: Wagombea CCM nafasi mbalimbali 2012

    Nimependa ulivyojibu, sioni uhusiano wa Dini na huu uzi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa Urais 2015...

    Hii nayo hoja
  3. J

    JamiiForums Tanzania Imethibitishwa na Serikali... Babu wa Loliondo ni Tapeli

    Mkuu hapo nakubaliana nawewe, sioni kosa la Babu, hakulazimisha mtu yeyote kumfuata na bado waliomfuata aliwataadhalisha. katusaidia kutuelewesha aina ya watu tulionao katika nchi yetu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mutungirehi: mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

    Mkuu umenikumbusha mbali, nakumbuka kama vile alikuwa ndio kwanza kalejea toka nje ya nchi, Sweden?? kama sikosei na akatupa matumaini kwamba atalifanyia kazi tumpe muda, kumbe ndo ikawa kuharibu mpango mzima, na jamaa wakamshitukia.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kuoga baada ya Faragha

    Hiyo Kali, Mbavu sina
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa mbagala

    Wazo zuri, picha itasaidia sana
  7. J

    JamiiForums Tanzania Regia Mtema is No More!

    Ni Ngumu kuipokea hii habari, Lakini hakuna jinsi, RIP Regia Mtema
  8. J

    JamiiForums Tanzania Picha huongea zaidi ya maneno... NEC ya CCM huko Dodoma

    Siasa ni ngumu sana, waachiane hao hao wanoweza kucheza na unafiki wao, kwa watu tunaotaka koleo liitwe koleo huo mchezo hatuuwezi
  9. J

    JamiiForums Tanzania Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    Ama kweli, Hiyo nayo ni Tanzania
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mmmh ni balaa

    Kweli kapendeza, kuanzia mguuni mpaka kunako lips, Nawaza hatakuwa na tabia kama za yule mwingine sijui anaitwa nani vile, wa ubaya!!!! No nO NIMEKUMBUBUKA anaanza na We,,,,,,, Yesi Sio uBAYA NI Wema
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Rais wa nini sasa iwapo hadi nguo na mataulo vinanunuliwa na Ikulu?!

    Duh! hilo la kulipwa na wafadhili kama ni kweli nalo nahisi tunaitaji kujua ni kiasi gani wanamlipa na kwa faida ipi? kwani kaajiriwa na watanzania
  12. J

    JamiiForums Tanzania Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

    Mkuu hayo majibu uliyoyatoa ni ya Kisiasa Zaidi na inakuwa ngumu kuweka katika ukweli, Unapoitaja Tanzania unakuwa umeunganisha Tanganyika na Zanzibar, ambapo hakuna uhuru wa nchi inayoitwa Tanzania bali tunakuwa na siku ambayo Tanzania ilizaliwa kwa maana ingine siku ya muungano. hiyo tisa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro kushika mikoba ya Tossi Oparesheni maalum

    Hapo sikubaliani na wewe, Kufanya kazi kwa kutegemea ulaji usio halali ndo unadidimiza Taifa letu.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Walibya na wapenzi wa kanali Muammar Ghadafi wanaishangaa Tanzania

    Mkuu, kwa hilo nakuunga mkono, hata tupige mayowe vipi hatuna cha maana, tulishapoteza mwelekeo
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tendwa, Mkuchika watofautiana kuhusu waliotimuliwa udiwani AR

    Na kuvunja Katiba ni jambo la kawaida tu hasa ukizingatia uliapa kuilinda......
Back
Top Bottom