Mmmh ni balaa

Mmmh ni balaa

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Sina neno zaidi ya balaa..............itategemea jinsi utakavyolitafakari neno balaa. maoni yako yakaribishwa.

Ni balaa.

m.jpg

Duuu, wanaume marijali kazi tunayo. Natamani aache uwazi zaidi kati ya mguu na mguu ili uzuri udhihirike zaidi.

ooooooopsssss..................hebu nkapunge hewa nje kidogo then nrudi

Sina neno zaidi ya balaa..............itategemea jinsi utakavyolitafakari neno balaa. maoni yako yakaribishwa.

Ni balaa.

m.jpg

Indume yene, i beg to differ with you. Mtoto ametimia huyu, nimezipenda lips zake na jinsi zilivyoendana na smile lake. mwaaaaaaaaaaaaa!

Indume yene, i beg to differ with you. Mtoto ametimia huyu, nimezipenda lips zake na jinsi zilivyoendana na smile lake. mwaaaaaaaaaaaaa!

Kweli kapendeza, kuanzia mguuni mpaka kunako lips, Nawaza hatakuwa na tabia kama za yule mwingine sijui anaitwa nani vile, wa ubaya!!!! No nO NIMEKUMBUBUKA anaanza na We,,,,,,, Yesi Sio uBAYA NI Wema

Kinaendelea nini hapa mbona siwaelewi.....!!

Hata wa pembeni yake kulia anatia njaa. Wako wapi hawa watoto! Kweli wakubwa wanafaidi..

Siyo kwangu huku na nitakuwa nimepotea njia. Ngoja nirudi kidogo. Mmmmhh!!

Mambo ya kina Hamis Lundenga hayo teh!
Sina neno zaidi ya balaa..............itategemea jinsi utakavyolitafakari neno balaa. maoni yako yakaribishwa.

Ni balaa.

marhaaaaabaaaaaaaa! au sijaamkiwa!! basi ngoja nijiamikie "shikamoo ze burner"

Pumbavu zao. Wanajidhalilisha. Wanaidhalilisha jinsia yote ya kike. Pumbavu zao tena. Wananikera kweli. Natamani ningekuwa na uwezo, ningewacharaza bakora.

Similar Discussions

Back
Top Bottom