Live from Dodoma: Wagombea CCM nafasi mbalimbali 2012

Live from Dodoma: Wagombea CCM nafasi mbalimbali 2012

.....
Ndugu,William John MALECELA (51)
.....

Hawa ndio vijana wa CCM, hatari sana hii.

Hivi kumbe jamaa ni wa makamo hivi? sasa mbona hivi??? @NY, Dar Bwahahahahahaha!!! 🙂
 
Last edited by a moderator:
Mbona watu wana pay attention sana kwenye uchaguzi huu wa CCM? :biggrin:

Naona hata Chadema imefunga ofisi zake dah!
 
Utawala huu wa awamu ya nne una mambo mengi sana ambayo ni tofauti kabisa na tawala zilizopita Mwl. Nyerere mama Maria hajawahi kujiweka kimbelembele kugombea cheo chochote ndani ya CCM alibakia kuwa na heshima kama First Lady kwa Mkapa Mama Anna hakujihusisha, Mwinyi, Mama Siti hakujihusisha cha ajabu huyu wa sasa Kampeni yumo, uongozi kwenye chama yumo hapa nakuwa na mashaka kweli hii familia ina nini hasa inachokitafuta ndani ya CCM Kwa upande wa vijana tumeshuhudia vijana wengi katika tawala zilizopita hawakujihusisha sana na siasa kama walivyo vijana wa Mkuu wetu wa sasa nao pia tumewaona kwenye kampeni pia kwenye shughuli nyingi za chama nao hatujui wanachokitafuta humu CCM ni nini.

Ukiona hivyo ujue siasa ina run kwenye familia.

KAma mwanao au wife anapenda kuwa mwanasiasa utamkataza?
 
I can assure you it does not make any difference kwangu. Muendelee kupigana mitama wee mwisho wa siku mtaamua wenyewe which is which. Sifuatilii sana hizi siasa zenu za maji taka...

Ndahani.......humtaki kujua nchi yako inaendaje?
 
Utawala huu wa awamu ya nne una mambo mengi sana ambayo ni tofauti kabisa na tawala zilizopita Mwl. Nyerere mama Maria hajawahi kujiweka kimbelembele kugombea cheo chochote ndani ya CCM alibakia kuwa na heshima kama First Lady kwa Mkapa Mama Anna hakujihusisha, Mwinyi, Mama Siti hakujihusisha cha ajabu huyu wa sasa Kampeni yumo, uongozi kwenye chama yumo hapa nakuwa na mashaka kweli hii familia ina nini hasa inachokitafuta ndani ya CCM Kwa upande wa vijana tumeshuhudia vijana wengi katika tawala zilizopita hawakujihusisha sana na siasa kama walivyo vijana wa Mkuu wetu wa sasa nao pia tumewaona kwenye kampeni pia kwenye shughuli nyingi za chama nao hatujui wanachokitafuta humu CCM ni nini.

Umeonaeeh!yaani kuna mambo mtu unaangalia,unajiuliza unakosa jibu!kweli ccm inawenyewe na wenyewe ndo jk family
 
Nilazima mojawapo ya kati ya izi ishike hatamu 1-CCM ASILI a-k-a masalia 2-CCM KAMPUNI 3-CCM BMW Mie napita tu nasubiri wachapane mikwaju.
 
Nilazima mojawapo ya kati ya izi ishike hatamu 1-CCM ASILI a-k-a masalia 2-CCM KAMPUNI 3-CCM BMW Mie napita tu nasubiri wachapane mikwaju.
 
Hivi tafsiri ya kijana Ndani ya CCM ni miaka mingapi? Kwani nilimsikia JK alisema wameamua kuteua Vijana wengi sasa Mbona nikiangalia uwiano wa umri siioni hao vijana? Au ni Yale Yale ya 2005 kuwa JK ni kijana Kumbe 55 yrs
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Anachoweza kufanya Lowassa kwa leo labda kuwasogelea "CCM wapinga ufisadi" kambi ya Sitta na kuwaonesha safu ya uongozi(slate) kama atapata urais huku akimuahidi Sitta uwaziri mkuu na wenzake nyadhifa mbalimbali za juu.
 
NEC imekuwa ni mfuko wa pension wazee wanapata malipo yao kuelekea 2015
 
kwa majina ya uvccm yanajirudia majina tuliyoyazoea ....... pigeni kelele cdm ni cha kifalme
 
Game changer
anachoweza kufanya lowassa kwa leo labda kuwasogelea "ccm wapinga ufisadi" kambi ya sitta na kuwaonesha safu ya uongozi(slate) kama atapata urais huku akimuahidi sitta uwaziri mkuu na wenzake nyadhifa mbalimbali za juu.
 
Back
Top Bottom