Recent content by jisanja

  1. jisanja

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kitanda, kabati la nguo na dressing table

    200k
  2. jisanja

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Nauza kitanda 6*6 mninga, sofa 7 seater Interested pm
  3. jisanja

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kitanda, kabati la nguo na dressing table

    Nauza kitanda cha mbao Og 6*6 hakina tatizo anaehitaji inbox plz
  4. jisanja

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu 11 kwanini Lissu atapata ushindi wa asilimia ndogo kuliko wote tangu 1995

    WEKENI TUME HURU ili mjue vizuri kua hamjui
  5. jisanja

    JamiiForums Tanzania CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

    Wangetoa tu kama hawawez haina maana kueka huduma ambayo humudu kuitoa kwa wateja wako Ata notification ya email kwa wale watumia internet BAnking n ovyoooo Una access saa 5 asbh inakuletea notification kua acc yako ilikua accessed saa 3 usiku
  6. jisanja

    JamiiForums Tanzania CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

    Nimepata same scenario.....ni wapuuzi sana sanaaa na wanakera mno nmeshaenda tawini kwao ad nmechoka nmepiga simu majibu n subiri 24 hrs Shwainiiii kabisaaaa Wako ovyooo zaid ya ovyoooo
  7. jisanja

    JamiiForums Tanzania Wenye magari binafsi watoe lift kwa watoto wa shule vituoni ili mbarikiwe

    Kwa hali ya sasa wanisamehe tu
  8. jisanja

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Kila la kheri ngoja wajuvi waje.
  9. jisanja

    JamiiForums Tanzania Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

    Mimi binafs siamini kama Ben yupo hai ad sasa iv kwa sabab n ngum sana kutunza mateka kuliko kumteka.... Na why wamueke ad sasa!? Kwa utawala huu hawez kua hai Sent using Jamii Forums mobile app
  10. jisanja

    JamiiForums Tanzania Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

    Wakutane ingawa naona kam matamko hayafanyiwi kazi wabadilishe methodology nyingne Sent using Jamii Forums mobile app
  11. jisanja

    JamiiForums Tanzania NAUZA SHAMBA NA KIWANJA DODOMA

    Aiseeee Sent using Jamii Forums mobile app
  12. jisanja

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kusikitisha Dodoma: Msaidizi wa kazi anyanyaswa na mwajiri wake, mtoto wake mchanga afungiwa ndani ya kabati kwa miezi 6

    Ila kuna wamama wa roho za paka jamani Mtoto mdogo kias icho anamfungia kabatini!?Alaaniwe Sent using Jamii Forums mobile app
  13. jisanja

    JamiiForums Tanzania Kabrasha chumba cha kunyongea

    Nini dhana ya mnyongaji kukamatwq kufikishwa kizimban na kuachiwa huru!? Kwann!? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. jisanja

    JamiiForums Tanzania Kiba afunguka," Mbosso ndio msanii wangu bora kwa mwaka huu"

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nilikuja spidiii nikijua n AliKiba kumbe abduli bana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom