Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

andjul

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
17,836
2,000
Naamini ndio lkn sio kwa kiwango hiki mnachokielezea. We unaamini risasi 38 toka siraha ya kivita ingeshindwa kutoa uhai wa lisu kwa sababu za eti dereva alimlaza chini?Kwamba huyo mdunguaji alikua anajifyatulia tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Matibabu yake kwa kiasi kikubwa yalikuwa sio ya siri, mwanzo kabisa madaktari wetu ndio walianza nae na ndio walio mrufaa.Spika akawatangazia wabunge lililo mpata mbunge mwenzao na idadi ya risasi zilizo mjeruhi.Rais wetu akatuma salamu za pole kwa huruma kabisa, na kuviamuru vyombo vya usalama kuwasaka watuhumiwa.
Kama Chadema/Lissu ametengeneza tukio, vipi madaktari wa Dodoma, Spika na Rais wetu?!! Maana yake waliingizwa chaka. Na nani?
Siasa zisiongoze akili zetu, siasa zimetukuta tunaishi kwa upendo, tukiwa tunashirikiana koo na koo, kijiji na kijiji kingine... Kama Lissu amepona, ni Mungu ameamua kujidhihirisha ukuu wake kupitia yeye.
 
Bradha

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
8,766
2,000
Ahsante,mkuu MISULI amenielewa swali langu. Hoja iliyo sababisha swali langu wewe umeielewaje?

Uncle, nadhani ulitaka umwoneshe ugumu wa kukiri kuwa "Anaamini hazikua risasi";Japo sijamwelewa MISULI kuwa hoja yake ni idadi ya risasi zilizompiga au ni haamini kama alijeruhiwa na risasi.

Hii issue ya TL imeichafua serikali yetu sana, na kama wapinzani walidanganya serikali isingekaa kimya bali ingetoa video/picha za CCTV cameras.
 
MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,389
2,000
Matibabu yake kwa kiasi kikubwa yalikuwa sio ya siri, mwanzo kabisa madaktari wetu ndio walianza nae na ndio walio mrufaa.Spika akawatangazia wabunge lililo mpata mbunge mwenzao na idadi ya risasi zilizo mjeruhi.Rais wetu akatuma salamu za pole kwa huruma kabisa, na kuviamuru vyombo vya usalama kuwasaka watuhumiwa.
Kama Chadema/Lissu ametengeneza tukio, vipi madaktari wa Dodoma, Spika na Rais wetu?!! Maana yake waliingizwa chaka. Na nani?
Siasa zisiongoze akili zetu, siasa zimetukuta tunaishi kwa upendo, tukiwa tunashirikiana koo na koo, kijiji na kijiji kingine... Kama Lissu amepona, ni Mungu ameamua kujidhihirisha ukuu wake kupitia yeye.
Wewe usiongozwe na nani alisema na kafanya nn.Mimi nahoji inawezekanaje upigwe risasi 38 ubaki salama?Sasa hapa ndio uje na facts sio oooh daktar mara rufaa nk.Kwamba bunduki ya kivita ndio matundu yale tunayoyaona?Kwamba risasi nyingine ilitua karibu na spinal cord na jamaa hakupoteza faham. Na bado kabla hajaenda Belgium huko Kenya aliweza kufanya conference na hiyo risasi mgongoni. Usilete story za nani kasema mara cjui nn,hizo ni fallacies. Njoo na picha halisi au assume unatengeneza movie yenye mashiko,je hiyo movie itakua movie kweli au ndio zile za bongo mzimu unavuka kwenye zebra?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
andjul

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
17,836
2,000
Uncle, nadhani ulitaka umwoneshe ugumu wa kukiri kuwa "Anaamini hazikua risasi";Japo sijamwelewa MISULI kuwa hoja yake ni idadi ya risasi zilizompiga au ni haamini kama alijeruhiwa na risasi.

Hii issue ya TLS imeichafua serikali yetu sana, na kama wapinzani walidanganya serikali isingekaa kimya bali ingetoa video/picha za CCTV cameras.
Hakika. Nashangaa kijana kaniangushia tusi la kufungulia mwaka.
Hili tukio limetuharibia sana taswira yetu kimataifa. Tunasema hakupigwa risasi hizo, wakati wanaomtibu wanatoa ripoti ya risasi wanazo zitoa mwilini mwake, kibaya zaidi mwaka mzima wako naye huko huko.
 
Bradha

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
8,766
2,000
Wewe usiongozwe na nani alisema na kafanya nn.Mimi nahoji inawezekanaje upigwe risasi 38 ubaki salama?Sasa hapa ndio uje na facts sio oooh daktar mara rufaa nk.Kwamba bunduki ya kivita ndio matundu yale tunayoyaona?Kwamba risasi nyingine ilitua karibu na spinal cord na jamaa hakupoteza faham. Na bado kabla hajaenda Belgium huko Kenya aliweza kufanya conference na hiyo risasi mgongoni. Usilete story za nani kasema mara cjui nn,hizo ni fallacies. Njoo na picha halisi au assume unatengeneza movie yenye mashiko,je hiyo movie itakua movie kweli au ndio zile za bongo mzimu unavuka kwenye zebra?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwa arguments za aina hii hata TL akikuambia ukweli hutomuamini.
Zilifyatuliwa risasi zinazokadiriwa kufika 38 ila zilizompata ni 16.TLS amepona kwa 'MUUJIZA'.Mkuu, ukipigwa risasi moja(achana na hizo 16) ukafanikiwa kusurvive ni muujiza pia na utamshukuru Mungu.

Hili neno 'MUUJIZA' lipo katika jamii kutokana na matukio kama haya ambayo ni magumu kuyaeleza.Neno moja linaloeleza sintofahamu uliyonayo ni 'MUUJIZA'.

Yes, it's unbelievable but it has happened!!
 
MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,389
2,000
Mkuu, kwa arguments za aina hii hata TLS akikuambia ukweli hutomuamini.
Zilifyatuliwa risasi zinazokadiriwa kufika 38 ila zilizompata ni 16.TLS amepona kwa 'MUUJIZA'.Mkuu, ukipigwa risasi moja(achana na hizo 16) ukafanikiwa kusurvive ni muujiza pia na utamshukuru Mungu.

Hili neno 'MUUJIZA' lipo katika jamii kutokana na matukio kama haya ambayo ni magumu kuyaeleza.Neno moja linaloeleza sintofahamu uliyonayo ni 'MUUJIZA'.

Yes, it's unbelievable but it has happened!!
Hapo kwenye neno MUUJIZA ndipo mnapogeuzwa WAPUMBAVU. Ni kitu ambacho hakipo na ikatokea mtu kahoji mnakuja na cheap argument za MUUJIZA mara Mungu hakupanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
13,895
2,000
Hizi ni hoja ambazo bavicha hawataki kuzisikia. Wameambiwa risasi nyingi ilikua karibu na uti wa mgongo. Kwakua huko ufipa ni ZERO BRAIN hakuna hata wa kupitia mambo ya central nervous system iko vipi na nini kazi ya spinal cord. Shule inasaidia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwamba risasi ikiwa karibu na spina cord si hawaitoi au?? Wewe kwani umeambiwa lisu katolewa risasi zote mwili???? Kuna sehemu risasi hazitolewi..Kwenye Brain..Spinal cord sehemu ambazo Nerve supply ni Nyingi inakuwa ishuu can cause paralysis so usikaze ubongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,389
2,000
Sasa kwamba risasi ikiwa karibu na spina cord si hawaitoi au?? Wewe kwani umeambiwa lisu katolewa risasi zote mwili???? Kuna sehemu risasi hazitolewi..Kwenye Brain..Spinal cord sehemu ambazo Nerve supply ni Nyingi inakuwa ishuu can cause paralysis so usikaze ubongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah watu wa ufipa kweli akili ndogo.Yaani mngeambiwa risasi nyingine ilitua kichwani na haijatoka bado mngeamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
andjul

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
17,836
2,000
Wewe usiongozwe na nani alisema na kafanya nn.Mimi nahoji inawezekanaje upigwe risasi 38 ubaki salama?Sasa hapa ndio uje na facts sio oooh daktar mara rufaa nk.Kwamba bunduki ya kivita ndio matundu yale tunayoyaona?Kwamba risasi nyingine ilitua karibu na spinal cord na jamaa hakupoteza faham. Na bado kabla hajaenda Belgium huko Kenya aliweza kufanya conference na hiyo risasi mgongoni. Usilete story za nani kasema mara cjui nn,hizo ni fallacies. Njoo na picha halisi au assume unatengeneza movie yenye mashiko,je hiyo movie itakua movie kweli au ndio zile za bongo mzimu unavuka kwenye zebra?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umehudhuria mafunzo ya matumizi ya silaha? Unajua sehemu gani unatakiwa umpige risasi adui yako ili afe?
Asilaumiwe TL kupona kifo (kifo ni mipango ya Mungu) bali alaumiwe muuaji aliye kosa shabaha akaishia kumuumiza tu. Jambo la muhimu zaidi tusimfundishe Mungu kazi za kupokea roho za watu kwa matakwa ya mwanadamu.
 
MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,389
2,000
Umehudhuria mafunzo ya matumizi ya silaha? Unajua sehemu gani unatakiwa umpige risasi adui yako ili afe?
Asilaumiwe TL kupona kifo (kifo ni mipango ya Mungu) bali alaumiwe muuaji aliye kosa shabaha akaishia kumuumiza tu. Jambo la muhimu zaidi tusimfundishe Mungu kazi za kupokea roho za watu kwa matakwa ya mwanadamu.
Huko kukosa shabaha risasi 38?We ushawah ona tukio la assassination likatumia risasi nyingi kiasi hiki na mtu akawa mzima?Kwanza unaambiwa jamaa walianza kumfuatilia toka Dar hahahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,077
2,000
Mimi binafs siamini kama Ben yupo hai ad sasa iv kwa sabab n ngum sana kutunza mateka kuliko kumteka....
Na why wamueke ad sasa!?
Kwa utawala huu hawez kua hai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom