Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,920
2,000
Dovutwa nae Na kikofia chake chekundu yupo Kwenye hilo Genge la Mawakala wa Mabeberu!
 

WILE

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
4,230
2,000
Hii tabia ya kila Siku kutaka kuonekana kwenye kideo inaanza kuchosha. Hii inamhusu pia JPM. Waache na wengine wazungumze.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom