Recent content by jilala gabriely

  1. J

    JamiiForums Tanzania WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

    Mimi je mwanipenda kwel??!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Siku zote msema ukweli ni mpenzi wangu. Nianze kwa kukupongeza raisi wangu Magufuri maana jambo hili ulilofanya sio jepesi. Umeweza kuwaondoa watumishi wenye vyeti feki ili kusimamia haki na usawa kwa watanzania wote. Lakini raisi ni wazi kwamba wote waliofukuzwa hawatokupenda magufuri lakini...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tuwasapoti bongo movie katika hili

    Ahahaha kwanini mkuu?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tuwasapoti bongo movie katika hili

    Wanajamvi katika siku za hivi karibuni kumekuwa na maandamano na matamko mengi kuhusu kazi za bongo movie na movie za nje (kikorea) lakini watu hawa wanaoandamana walikosa uwakilishwaji mzuri wa hoja zao mpaka kufika mahali watu kutowaelewa. [emoji117]UKWELI ni kwamba ni kwel kazi za movie za...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa vijana: Maghembe Jr Vs Malecela Jr ( aka Le mutuz)

    Lemutuz ni babu na sio kijana.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu mpya wa kupata fao la kujitoa NSSF

    Pspf mkuu ni mzuri.
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doctors obtain orders stopping state from hiring Tanzanians

    Kuajiri
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doctors obtain orders stopping state from hiring Tanzanians

    Zuio hilo limekuja mara tu baada ya serikali ya Kenya kutaka kuajiri madaktari kutoka Tanzania. Sababu ya katazo hilo ni kuwepo kwa madaktari nchini Kenya 1400 ambao bado hawajaajiriwa.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Ili kuongeza mapato bodaboda zichajiwe motor vehicle kila mwaka

    Nashindwa kukuelewa umemaanisha nini??? Unavyosema pikipiki zilipiwe motor vehicle ndio nini?? Kwa kawaida kwenye ulipaji wa kodi 'pikipiki' huitwa motor cycle na magari yote yenye matairi kuanzia matatu na kuendelea huitwa 'motor vehicle' vitu hivi vyote vinalipa kodi. Sasa embu weka maoni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wezi wa simu TAZARA

    Ahahaha
  11. J

    JamiiForums Tanzania Vipaumbele vya bajeti mwaka wa fedha 2017/2018 vitabadilisha maisha ya Watanzania?

    Wa ndugu naleta kwenu vipaumbele vya bajeti ya mwaka wa fedha 2017/2018 ambavyo vimetajwa na waziri wa fedha. Vipaumbele hivyo ni. 1.Ujenzi wa Reli 2.Kuhuisha ATCL 3.Ununuzi wa ndege 4.Mradi wa Liganga 5.Kuhamia Dodoma 6.Kuanzisha kanda maalumu za kiuchumi. Je kwa vipaumbele hivi maisha ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Wasomi na wataalamu wa jambo hili washauri nchi wasiishie humu tu.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Rais kwa CAG

    Mimi naona raisi yupo katika mkakati mzuri na nia yake ni kutaka kujiridhisha tu. Haina ubaya
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

    Kura yangu ntampa lowasa na si vinginevyo
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nimemharibu mpenzi wangu ila yote kasababisha mwenyewe

    Jiandae utubu mapema kabla umauti haujakufika...maana wote wafanyao kinyume na maumbile yaliyohalalishwa basi hatomuona allah!!! Tubuni wakati ndio huu
Back
Top Bottom