Vipaumbele vya bajeti mwaka wa fedha 2017/2018 vitabadilisha maisha ya Watanzania?

Jun 8, 2013
42
35
Wa ndugu naleta kwenu vipaumbele vya bajeti ya mwaka wa fedha 2017/2018 ambavyo vimetajwa na waziri wa fedha. Vipaumbele hivyo ni.
1.Ujenzi wa Reli
2.Kuhuisha ATCL
3.Ununuzi wa ndege
4.Mradi wa Liganga
5.Kuhamia Dodoma
6.Kuanzisha kanda maalumu za kiuchumi.
Je kwa vipaumbele hivi maisha ya mtanzania yatabadilika ukilinganisha na hali ilivyo sasa??!
 
Doh,
kilimo hakijapewa kipaumbele.?
Afya jee.?,
vipi kuhusu upatikanaji wa maji safi na salama.?

Vipi kuhusu Makazi bora kwa raia.?

Hivi binafsi niliona kama vinapaswa kuwa vipaumbele kwa sasa.

Ingawaje kwa vipaumbele hivyo natabiriKwa mfumuko wa bei kupungua na ugumu wa maisha kwa raia wa kawaida kuongezeka mara dufu.
 
We unaamini kun vipaumbele. Vipaumbele ninavyojua ni matashi ya rais tu basi.
 
Wa ndugu naleta kwenu vipaumbele vya bajeti ya mwaka wa fedha 2017/2018 ambavyo vimetajwa na waziri wa fedha. Vipaumbele hivyo ni.
1.Ujenzi wa Reli
2.Kuhuisha ATCL
3.Ununuzi wa ndege
4.Mradi wa Liganga
5.Kuhamia Dodoma
6.Kuanzisha kanda maalumu za kiuchumi.
Je kwa vipaumbele hivi maisha ya mtanzania yatabadilika ukilinganisha na hali ilivyo sasa??!

Maendeleo ya ukweli ni kwenye watu/wananchi na sio kwenye vitu.

Bajeti hii kama ile ya 2016/17 haina jipya wala unafuu kwa mwananchi wa kawaida. Ni bajeti ya takwimu/makaratasi tu lakini isiyoakisi uhalisia na ukweli kwenye maisha ya Watanzania walio wengi.

Kwa ufupi hiyo ni bajeti ya Serikali kwa ajili ya Serikali na kwa manufaa ya Serikali.
 
Wa ndugu naleta kwenu vipaumbele vya bajeti ya mwaka wa fedha 2017/2018 ambavyo vimetajwa na waziri wa fedha. Vipaumbele hivyo ni.
1.Ujenzi wa Reli
2.Kuhuisha ATCL
3.Ununuzi wa ndege
4.Mradi wa Liganga
5.Kuhamia Dodoma
6.Kuanzisha kanda maalumu za kiuchumi.
Je kwa vipaumbele hivi maisha ya mtanzania yatabadilika ukilinganisha na hali ilivyo sasa??!
Watu wa vijijini wanasafiri Mara ngapi kwa mwezi afu*12
 
Mi nalia tu na manunuzi ya ndege inayo tumiwa na watu wachache wenye kipato mkasahau mlisema mtakua pamoja na watu wa hali ya chini Wanapanda baiskeli kufata huduma za afya kisa barabara mbovu hazipitiki........hii ni tz
 
Back
Top Bottom