Napenda kuyaongelea haya USHABIKI WA KISIASA & IMANI YA KISIASA,Katika siasa haya ni mambo mawili yanayokinzana kutoka mtu hadi mtu, nayo huchangiwa hasa na hadhira inayoangalia mchezo mzima wa SIASA. HADHIRA(jumuiya tazamaji) ina mchango mkubwa katika kutoa muelekeo wa maana halisi ya haya maneo mawili USHABIKI NA IMANI,,,hadhira hii inaweza ikapoteza maana ya tafsiri yake pale itakapochanganya maana ya haya maneno(imani na ushabiki) kwa kuyaweka mahala pamoja au kwa kuhamisha maana zao.
USHABIKI WA KISIASA,,kwa maana fupi ni ile hali ya kuishi kwa mhemkowa wa kisiasa (regardless ni mbaya au nzuri),ushabiki wa kisiasa unapouweka kwa mtu fulani maana yake ni kuwa fan wa mtu hata kama anafanya madudu ili mradi tu umechagua upande wake, na hii inaweza kuwa imetokana na kuamua kumsupport mtu flani kwasababu tu mpinzani wake ni adui yako (hata kama ni bora),hali ambayo si nzuri kwa mustakabali wa Taifa.
IMANI YA KISIASA,,ni ile hali ya kuamini katika uwezo na vigezo husika katika uwanja wa siasa,(based on qualities and not personality), imani ya kisiasa kwa mtu fulani ni kuwa na matumaini kuwa mtu husika ana uwezo wa kutoa kile kilicho ndani yake (based on history of his/her activities and habit) kwa mustakabali wa siasa na Taifa, haijalishi awe wa upande wako au pande pinzani,mfano; kuna wanachama wa CCM wanaomsupport mh. zitto kabwe kutokana na uwezo wake aliouonyesha katika uwanja wa siasa kwa kuibua mabovu ya viongozi wa serikali ambao wengi ni wa CCM...hiyo ndiyo imani ya kisiasa.
UKIMYA WA MH.LOWASSA: anaamini katika IMANI na SI USHABIKI,,,wanagapi walishirikiana nae kwenye kampeni 2005 na bado aliwapiga chini, hiyo ndiyo imani ya kisiasa,,,haamini katika makelele yako bali utendaji,,,anaamini wale wanaojua kazi alizofanya serikalini ndio wanaompigania na ndio watampigania (wapo wengi wanaompinga kwa kazi zake ni kwasababu walichotegemea katika njaa zao hawakukipata,,,haitaji kujibu kama watu wengi wanavyotegemea,atajibiwa na wale wenye IMANI NAE,,,VIVA EL,...MAY 2015 tunakusindikiza kuchukua fomu DODOMYAAA