johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,182
- 164,686
Katika uchaguzi uliopita wa bunge la EA vijana waliwakilishwa na W Malecela aka le mutuz lakini kura hazikutosha hivyo hakwenda Arusha.Mwaka huu tumewakilishwa na kijana mwingine msomi Dr Maghembe Jr ambaye kura zimetosha na anakwenda Arusha kutuwakilisha.
Swali langu, je vijana mmejifunza nini kupitia vijana hawa wawili wasomi na waliofanya kazi nje ya nchi? Unadhani Le mutuz alifanya kosa gani ktk uchaguzi uliopita ambalo Dr Maghembe Jr hakutaka kulirudia? Vijana karibuni kwa mjadala, Ahsante!