Wezi wa simu TAZARA

Wezi wa simu TAZARA

lazima atakuwa mwanaume wa mkoani huyo wa dar hawawezi ni waoga hadi sisimizi.....big it wa mkoani
 
huyu ni wa mkoani mtoto wa darawezi kuyafanya
Hahaha,ni kweli
Wao wa Dar waachiwe tu Hamorapa,yaani wanaishi kwa vitu vya ajabu ajabu sana.
Wizi wa Dar ni wa Kijinga sana,watu wakikaza tu basi watashika adabu.
Kama huyo Aliekamatwa,atataja mpaka wanaowauzia na bodaboda zote.
Tatizo ni Polisi kama wataendelea kufuatilia,maana ndio janga jingine.
 
Kuna jamaa walikuwa wanaiba kwa style hiyo hiyo..siku moja nikamnasa na kumkwida pale dirishani akiwa anataka kuniibia...nilimpiga vichwa huku nahesabu...watu wakanikuta Niko kichwa cha 52, 53, 54, 55,56.......!
Hicho kichwa chako ni kichwa jiwe umebobea kwa uongo nakutunuku rasmi digrii ya uongo uliokolea
 
Kama mwezi mmoja umepita niliibiwa simu yangu iPhone 6 s plus maeneo ya tazara kwenye mataa,hiyo simu masikini nilikua nmeitumia kma wiki tu.

Walicho kifanya wale vibaka walikua na bodaboda,mmoja alishuka akabaki nyuma ya gari,dereva akasongea Mbele kabisa Jaribu na kwenye bonet,walk chokifanya yule wanyuma alipokonya simu,akadandia bodaboda,wakawasha.

Nikasema sawa,nlienda polis kureport,askari akanambia nimpe laki 3 na imei Namba aitafute,nikaona hiyo nae mwizi, ntaitafuta mwenyewe.

Tangu ijumaa wiki iliyopita niliandaa silaa zangu zote moto na baridi nikaziweka kwenye gari.

Nlivyokua nikifika tazara pale kwenye mataa natoa simu kama kawaida afu Nakaa chonjo nikamate mwiz,jana bwana mtego wangu ukanasa.

Walikuja kma kawaida wakajipanga yule wa nyuma nikawa namchungulia kwenye side mirror, alivosongelea gari tu nkamdaka,yule wa Boda Boda akakimbia.

Yule Jamaa nligonga vya kutosha wakaja watu naona wakagonga mpka walivyokuja as askari,nikawaeleza tukaenda kituoni buguruni,Dogo alitaja machimbo yake yote na wezi wenzie wote wa vingunguti, Dogo yuko ndani anasidia upelelezi mpka hivi sasa.
Umecheza sana vizuri,maeneo yale pamoja na Buguruni kituo cha daladala,kuna wizi sana wa simu.Umetusaidia sana,tunakupa hongera.
 
Kama mwezi mmoja umepita niliibiwa simu yangu iPhone 6 s plus maeneo ya tazara kwenye mataa,hiyo simu masikini nilikua nmeitumia kma wiki tu.

Walicho kifanya wale vibaka walikua na bodaboda,mmoja alishuka akabaki nyuma ya gari,dereva akasongea Mbele kabisa Jaribu na kwenye bonet,walk chokifanya yule wanyuma alipokonya simu,akadandia bodaboda,wakawasha.

Nikasema sawa,nlienda polis kureport,askari akanambia nimpe laki 3 na imei Namba aitafute,nikaona hiyo nae mwizi, ntaitafuta mwenyewe.

Tangu ijumaa wiki iliyopita niliandaa silaa zangu zote moto na baridi nikaziweka kwenye gari.

Nlivyokua nikifika tazara pale kwenye mataa natoa simu kama kawaida afu Nakaa chonjo nikamate mwiz,jana bwana mtego wangu ukanasa.

Walikuja kma kawaida wakajipanga yule wa nyuma nikawa namchungulia kwenye side mirror, alivosongelea gari tu nkamdaka,yule wa Boda Boda akakimbia.

Yule Jamaa nligonga vya kutosha wakaja watu naona wakagonga mpka walivyokuja as askari,nikawaeleza tukaenda kituoni buguruni,Dogo alitaja machimbo yake yote na wezi wenzie wote wa vingunguti, Dogo yuko ndani anasidia upelelezi mpka hivi sasa.
POLISI WOTE HAPO WANAJUA MACHIMBO YA KAKAA.. NDUGUYANGU KAENDA MAJUZI MBEZI POLISI KAIBIWA PIKPIK NA DUKA ZIMA JAMAA WAPALE WAKAMPA NAMBA JAMAA ALIESHIRIKI KUFIKA PALE AKAWAPA NAMBA POLIS MMOJA IKASOMA JAMBAZI KMR NAMBA ILEILE.. YULE JAMAA WAMEMKAMATA KESI TULIPOONA USANII TUKAENDA MAMLAKA ZA JUU MABATINI WAKACHIWA SHOW. BADAE JAMAA WAMEENDAKUMSACHI WAMEKUTA HADI NA LAPTOP ZA BR AJAONDOA LOH
 
Hii thread imenichekesha sana. Yaani mpaka Jirani ananiuliza kulikoni. Ukweli vibaka ni machukizo mno na siku hizi wako wakali mno maana ukwasi imepungua mtaani. Wakipata upenyo tu wafa.
 
Kama mwezi mmoja umepita niliibiwa simu yangu iPhone 6 s plus maeneo ya tazara kwenye mataa,hiyo simu masikini nilikua nmeitumia kma wiki tu.

Walicho kifanya wale vibaka walikua na bodaboda,mmoja alishuka akabaki nyuma ya gari,dereva akasongea Mbele kabisa Jaribu na kwenye bonet,walk chokifanya yule wanyuma alipokonya simu,akadandia bodaboda,wakawasha.

Nikasema sawa,nlienda polis kureport,askari akanambia nimpe laki 3 na imei Namba aitafute,nikaona hiyo nae mwizi, ntaitafuta mwenyewe.

Tangu ijumaa wiki iliyopita niliandaa silaa zangu zote moto na baridi nikaziweka kwenye gari.

Nlivyokua nikifika tazara pale kwenye mataa natoa simu kama kawaida afu Nakaa chonjo nikamate mwiz,jana bwana mtego wangu ukanasa.

Walikuja kma kawaida wakajipanga yule wa nyuma nikawa namchungulia kwenye side mirror, alivosongelea gari tu nkamdaka,yule wa Boda Boda akakimbia.

Yule Jamaa nligonga vya kutosha wakaja watu naona wakagonga mpka walivyokuja as askari,nikawaeleza tukaenda kituoni buguruni,Dogo alitaja machimbo yake yote na wezi wenzie wote wa vingunguti, Dogo yuko ndani anasidia upelelezi mpka hivi sasa.
Kama shilawaduuuu piga haooo kweli ww s wamchezomchezoo so dogo yupo likizo atajiju na ukwajuuu
 
me walinipokonyaga bahati nzuri ikatelezea kwene gari asee palepale ka htc kangu mwaka 2012
 
Back
Top Bottom