amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 1,650
- 3,811
Haya ni ni maoni na mapendekezo yangu ili kufanikisha maendeleo ya nchi.
Bodaboda zimekua nyingi nchini na zimeweza kuajiri mamilioni ya vijana na kupunguza matukio ya ajabu ajabu yaliyokuwa yanatokea siku za nyuma nchini kama vile ukabaji n.k
Japo zimekuwa zikilipiwa motor vehicle pindi zinaposajiliwa sio vibaya zikawa zinalipiwa kila mwaka kama ulivyo kwenye magari.
Kutokana na kuongezeka kwa usafiri huu ambao umeajiri mamilioni ya vijana sio mbaya kutokana na mapendekezo yangu japo yakaangaliwa kwa jicho la tofauti ili kuiongezea nchi yetu mapato.
Chukulia kama Tanzania ina bodaboda milioni 10 na zaidi, yaani wangekua wanalipia hata 20,0000 kwa kila mwaka nchi ingekusanya mapato mengi sana
20,000 × 10,000 000 = 200,000 000 000 yaani sawa na bil 200 kwa mwaka.
Kwangu mimi nimeona hiki ni chanzo kimojawapo ambacho kitaipatia nchi yetu mapato.
Naomba kwa maoni haya tuondoe itikadi za kisiasa kama nimekosea naomba nikosoe na pia kama unaniunga mkono nitashukuru pia.
Maendeleo ni yetu sote.