Uchumi wa Nigeria unasongwa na mambo mengi sana, e.g. bei ya mafuta kuporomoka, Boko Haram, corruption ya kiwango cha juu kabisa, ufisadi uliokithiri (watu wanahamisha hela overseas), retarded industrial growth, kukosekana kwa mpango mkakati wa nchi (priority za kimaendeleo) hazijulikani...