bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,881
Hata hao viongozi wenu mnaodhani wana mchango katika ujenzi wa taifa hili ni wezi tu! Ndio ndio wanaaongoza kwa kulibomoa taifa!
in the name of 'wapiganaji'....malabuku!!! wanapigania matumbo yao
Hata hao viongozi wenu mnaodhani wana mchango katika ujenzi wa taifa hili ni wezi tu! Ndio ndio wanaaongoza kwa kulibomoa taifa!
Bwana wake Jack Pemba naye yupo wapi siku hizi?
lakini tuache utani huyu demu ni bomba sana