Recent content by jesacho

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake, yupi mwanaume bora, mwenye kuongeza mke wa pili au mwenye kuchepuka?

    hata mm pia nashangaa mwanaume asiyechepuka anahusishwa na ugonjwa Wapo wanaume wasiochepuka na ni wazima kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ahadi hewa ya ajira

    ni rahisi kusema watu wajiajiri, unajiajiri vp na huna mtaji.... poleni mnaosubiri ajira.......
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hiki ni kitenzi kishirikishi?

    nakubaliana na wewe
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hiki ni kitenzi kishirikishi?

    sentensi ipo vzuri....
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hiki ni kitenzi kishirikishi?

    sasa ukisema kitenzi kisaidizi ni lazima kuwe na kitenzi kikuu ....mbona hakuna kitenzi kikuu hapo ...nikitenzi kisaidizi kivip
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hiki ni kitenzi kishirikishi?

    wanafunzi WALIKUWA shambani. naomba kujua kama kweli neno WALIKUWA ni kitenzi kishirikishi au la
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Zanzibar na Muungano

    Najiuliza tu hivi swala la Muungano limekaaje hapo wakati Zanzibar wanashughulikia wenyewe matatizo yao. Asante.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    hiyo haina ubishi wachache sana ambao wamefurahi
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Rais mteule Dk John Magufuli wafunika kimataifa

    yaaan acha tu inauma sana ila ndo hakuna jinsi........eti rais mteule aliyechaguliwa na wananchi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CCM Wapokea Kadi za Wapinzani / UKAWA kwa Malundo

    du hata ishirini zinafika kweli?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kingwendu noma, ang'oa CCM Kisarawe

    hukuona tatizo pro maji marefu kuwa mbunge
  12. J

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Magufuli, anavyo fananisha mabadiliko ya Tanzania na yale ya Libya

    sure......naunga mkono 100%
  13. J

    JamiiForums Tanzania CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

    yan hao vijana kwa kweli nna mashaka nao wanaonekana kama ni wahuni tu.....choka mbaya....kweli siasa ni mchezo mchafu
  14. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusimpuuze Dr. Slaa kasema kweli, kumbuka yule alikuwa katibu wa chama anajua kila kitu

    umenifurahisha sana.......hyo ni point ya msingi haifai kupuuzwa hata kidogo
  15. J

    JamiiForums Tanzania Twaweza wakwepesha jina la anayeongoza

    mwaka huu kuna changamoto ya kutosha na mpira bado unadundadunda.......EL ndo chaguo langu
Back
Top Bottom